swali!?

swali!?

Avatar Myg

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2011
Posts
675
Reaction score
118
Ivii.. Umewahi kujiuliza mtu wa kwanza kugundua maziwa ya ng'ombe alikua anafanya nini na ng'ombe??
 
alimchinja wakati anamchuna ngozi kufika kwenye maziwa kuyashìka yakatoa maziwa kuanzia hapo basi maziwa kama kawa
 
Alikuwa anamuiga pedeshee ndama mtoto wa ng'ombe.
 
alidhani ng'ombe wake anauvimbe, alipojaribu kukamua yakatoka majimaji(maziwa) akihisi ni usaha, kwa kuwa yalitoka mengi akaamua kuhifadhi kwenye kopo ili apeleke kwa dr wa mifugo, kwa bahati mbaya mwanae akchukua lile kopo na kunywa kisha akasema taaamu... loh ikabidi a test kama kweli.. haah iliyobaki malizieni wenzangu
 
Huyo alikuwa ni mvumbuzi wa Mwafrika wa kwanza, kama vile Adam alivyovumbua ile nani hii.
 
Alikuwa anafanya uchunguzi kwanini mtoto wa ng'ombe kutwa anashinda kwenye titi mama ng'ombe.
 
Back
Top Bottom