Ile buku iko wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ile buku iko wapi?

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Jaguar, Mar 17, 2011.

 1. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #1
  Mar 17, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Jamaa watatu walienda guest.Walipouliza bei ya chumba,waliambiwa ni sh.30000 kwa chumba kimoja.Wakaamua kuchanga kila mmoja sh.10000 wakamkabidhi mmiliki wa guest.Mmiliki wa guest alipofika ndani akagundua bei si 30000 bali ni 25000,akatoa buku tano akampa mhudumu awarudishie wale jamaa.Mhudumu akutaka shida,akatia buku 2 mfukoni na ile elfu tatu akawapa wagawane buku buku.Kwa hiyo kila mmoja akawa amelipa elfu 9 yaani elfu 27 kwa wote watatu.Ukijumlisha na ile elfu 2 aloficha mhudumu ni sh elfu 29.Swali.je shilingi elfu moja imeenda wapi?
   
 2. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #2
  Mar 17, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,701
  Likes Received: 422
  Trophy Points: 180
  30000-25000=5000-2000=3000 gawanya kwa 3=1000 kama kuna buku limebakia hapo basi unalo wewe
   
 3. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #3
  Mar 17, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hujaelewa!!!
   
 4. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #4
  Mar 17, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,701
  Likes Received: 422
  Trophy Points: 180
  Bado ndugu yangu
   
 5. The Inquisitive

  The Inquisitive Senior Member

  #5
  Mar 17, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 178
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Ndugu we mgeni hapa jamvini. Hili lilishakokotolewa zamaaani
   
 6. corlpole

  corlpole Member

  #6
  Mar 17, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vp wamekupunja chenchi nini?
  Ka vipi hesabu kwa vidole, hata vya miguuni, visipotosha mwambie muudumu aviweke na vyakwake!
   
 7. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #7
  Mar 17, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Thanx,washawasha,corlpole and the the mdadisi kwa challenge zenu,ni kweli mi mgeni kabisa jamvini na huenda hii quiz isha postiwa kitambo but sijapewa jibu bado,hii quiz ni very simple lakini lugha ngumu kueleweka,i didn't need the transaction equation,niambie tu iko kwa pocket ya nani?simply like that,b blecd mi buddies!
   
 8. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #8
  Mar 17, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Mi nimetoka kapa.
   
 9. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #9
  Mar 17, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Pocket ya muhudumu
   
 10. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #10
  Mar 18, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,701
  Likes Received: 422
  Trophy Points: 180
  ngoja tukupe mji ili utupe jibu.nenda Morogoro
   
 11. Mkwaruzo

  Mkwaruzo JF-Expert Member

  #11
  Mar 18, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  anhaaa, ww ulitaka pawe na usawa ktk hela atakayoirejesha bosi, yani iwe 6000 kwa kila m1 2000 ndo usingekuwa na suali? Basi 2000 kwa mhudumu, 3000 kwa washkaji na 1000 unayoitaka ww ni sehemu ya malipo kwa walichokuwa wanakihitaji.
   
 12. locust60

  locust60 Senior Member

  #12
  Mar 18, 2011
  Joined: Oct 1, 2008
  Messages: 102
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hesabu rahisi inanikumbusha shule ya msingi kwenye MAGAZIJUTO.
  jamaa hawakulipa elfu tisa hesa ilikuwa kama ifuatavyo
  25000/3 + 1000=hii ndio gharama ya kila mmoja.
  gharama hii ukizidisha matatu ukajumalisha na book 2 alizo chukua mlinzi utapata 30000.
  kosa lifanyikalo hapo kuanza kutoa na kujumlisha kabla ya kuganya.
  Hakuna hata senti iliyopotea
   
 13. Isaac

  Isaac JF-Expert Member

  #13
  Mar 18, 2011
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 627
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  kwa kifupi hawatakuwa wametoa 9000 bali 8333.33 @. 8333.33 x 3=25000+3000+2000=30000. Unataka buku lipi kama siyo kutudanganya? Rudi darasani.
   
 14. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #14
  Mar 18, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Big up and thumb up to you all who volunteered to contribute your opinions!
   
 15. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #15
  Mar 18, 2011
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Kila mmoja ametoa 9000, jumla 27,000; hoteli imelipwa 25000 na buku mbili kachukua mhudumu.
  Ile buku haipo na wla haikuwepo!
   
 16. s

  stromberg Member

  #16
  Mar 18, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hizo hesabu za kichovu. fumbo mfumbie mjinga buku analo fisadi wa gesti
   
 17. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #17
  Mar 18, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  uko 101% right,tufunge mjadala.
   
 18. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #18
  Mar 25, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,701
  Likes Received: 422
  Trophy Points: 180
  Hapana hujatutendea haki cc ambao unaona kwamba majibu ye2 c sahihi. Tunakuomba utupe jibu ya swali hili
   
 19. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #19
  Mar 25, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Okay wale jamaa wamerudishiwa buku buku kila mmoja.katika ile 25000 aliyobaki nayo mmiliki guest,chukua 24000,tumwachie hiyo 1000 kwanza.24000/3 ni sh.8000 kila mmoja.sh.8000 plus ile buku waliyopewa mwanzo=9000 kwa kila mmoja.9000 times 3 unapata 27000.27000 plus 2000 iliyofichwa na mhudumu=29000.Hapo nadhani unakumbuka tulimwachia 1000 mmiliki guest ambayo ndo tulikuwa tunajiuliza iko wapi!
   
Loading...