Chemsha bongo maths | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chemsha bongo maths

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mkombozi, Mar 21, 2011.

 1. M

  Mkombozi JF-Expert Member

  #1
  Mar 21, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Kuna mzee mmoja alikuta kundi kubwa la ndege,akalisalimia kwa kusema,shikamooni ndege mia,ndege walipaza sauti wakisema sisi sio ndege mia,bali waje kama sisi,waje nusu yetu,waje pia robo yetu na wewe mwenyewe ili tutimie mia.Je kundi hilo la ndege lilikua na ndege wangapi?
   
 2. m

  mbweta JF-Expert Member

  #2
  Mar 21, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 600
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mhh subiri ntafakari mtego upo wap
   
 3. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #3
  Mar 21, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Hii michemsha bongo inakichosha kichwa changu mpaka basi, ngoja niendelee kupiga hesabu nitarudi! Meanwhile nakupa mji/ kijiji cha Loliondo!
   
 4. B

  BILLY2TRY Member

  #4
  Mar 21, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 53
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  hii inabidi kutulia kidogo!!!
   
 5. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #5
  Mar 21, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Jumla kuu ya mwisho itakuwa ndege 99 na mzee mmoja.issue iliyopo ni kutafuta waliokuwepo mwanzo kama ifuatavyo;xplus xplus x/2plus x/4=99,then after simplifying;8xplus 2xplus x=396;after solving,the value of x=36 ambayo ndo idadi ya ndege aliyoikuta babu.proof:walikuwepo 36 wakaja 36,wakaja 18 na wakaja 9 pamoja na babu wakaunda ndege 99 plus babu,napokea challenge.
   
 6. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #6
  Mar 21, 2011
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,068
  Trophy Points: 280
  Hii ilikuwa darasa la nne au la tano? Those were the days bwana!
   
 7. M

  Mkombozi JF-Expert Member

  #7
  Mar 21, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Umepatia mkuu, ni kweli walikua ndege 36.
   
 8. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #8
  Mar 21, 2011
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,068
  Trophy Points: 280
  Nyingine naikumbuka kumbuka hii hapa:

  "Kangaroo ni mnyama aoenekae Australia, huweza kuruka umbali wa mita kumi na mbili. Mwanga anajitapa kuwa huweza kuruka theluthi ya umbali huo. Je, huo ni umbali gani?"
   
 9. m

  mbweta JF-Expert Member

  #9
  Mar 21, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 600
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Daa kwahyo na mzee nae alikuwa ndege? Mana kuna sehem imesema na wewe ukija jumla ndo mia. Anyway jib zuri.
   
 10. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #10
  Mar 21, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Ndege 99 na mzee(binadam) mmoja jumla viumbe mia!
   
 11. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #11
  Mar 21, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,174
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  y+1/2y+1/4y+1 = 100
  7/4y=99
  7y=99*4
  y=(99*4)/7

  ndege 56.

  nimeacha desimali kwa kuwa hakuna ndege desimali.

  kama nimekosa, sikubali.
   
 12. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #12
  Mar 21, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  good attempt mkuu,ila umekosea kidogo tu,walikuwepo ndege(y),wakaja kama wao(y),wakaja nusu yao(y/2),wakaja robo yao(y/4),hence equation itakuwa y plus y plus y/2 plus y/4=99,you can carry on buddy!
   
 13. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #13
  Mar 21, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,174
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  nimekusoma mkuu.

  hapo tena simalizii; swali limeisha; nawaachia mangwini.
   
 14. ambili

  ambili JF-Expert Member

  #14
  Mar 21, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 243
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  mlingayo wako unakasoro.

  unatakiwa uwe; y+y+y/2+y/4+1=100

  where:
  y=idadi ya ndege
   
 15. IT Guru

  IT Guru JF-Expert Member

  #15
  Mar 21, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 616
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Dah ingawa ni ngumu kuelewa kdogo ila nafurah kuona mahesabu yanashuka kiasi hicho wakuu
   
 16. M

  Morris Member

  #16
  Mar 21, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapa hii ni kavu kweli!
   
 17. IT Guru

  IT Guru JF-Expert Member

  #17
  Mar 21, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 616
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  hatimaye nimepata concept hapa. Ah kumbe rahisi hivi!
   
 18. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #18
  Mar 22, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  dah! Safi sana wakuu kwa mahesabu haya hata mie najiona naweza.endeleeni kuulizana maswali zaidi ili nasi tunufaike
   
 19. Avatar

  Avatar JF Gold Member

  #19
  Mar 22, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 676
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 35
  Ndege hawaongei!...
   
 20. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #20
  Mar 22, 2011
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Kokotoa kwa heshima ya X
   
Loading...