Majina ya Vitongoji vya Unguja

Majina ya Vitongoji vya Unguja

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2010
Posts
10,827
Reaction score
4,184
Mchambawima

Bububu

Koani

Mwanakwerekwe

Kojani

Paje

Naomba wenzetu wa Zenji watueleze maana ya haya maneno. hasa hilo la Mchambawima.
 
makunduchi
mfereji maringo
mwembe mimba
mwembe ladu
kilima nyege
kwa haji tumbo
gulioni
kiembe samaki
ngazi mia
baraste kipande
bwe leo
kizimkazi
paa je

bungi
pete
 
Gae la mtungi . Mwari hakogi. Chokocho. Madongo mporomoko. Mwembe mimba. Saa ten. Mwembe makumbi. Kiboo je. Mtu haliwa.
 
makunduchi
mfereji maringo
mwembe mimba
mwembe ladu
kilima nyege
kwa haji tumbo
gulioni
kiembe samaki
ngazi mia
baraste kipande
bwe leo
kizimkazi
paa je

bungi
pete
kicheche
tu*mbatu
mta*mbwe
mgeni haji
mwache alale
makund-uchi
kibo-je
mtu haliwa
kanyeni
pita utumwe
pita na zako
kina zini
si zini
*ukibadilisha herufi unaondoka na matusi
 
Hahahaaaaaaa, nyie wachokozeni tu, wataandamana sasa ivi!! wana visa na visirani sijapataona! watatishia kuvunja ze muungano
 
Wakuu now nipo pemba, hivyo nitawaulizia maana ya hayo majina na mengine nitakafika unguja. Musihofu. Ila nina swali moja juu ya kisiwa hichi cha Fundo. Eti ukikalia Fundo, Raha unaionea wapi?
 
ila yapo na haya:
hanyegwa mchana
mkwaju ngoma
kijambia
kidongo chekundu
raha leo
kengeja(a)
 
Wakuu now nipo pemba, hivyo nitawaulizia maana ya hayo majina na mengine nitakafika unguja. Musihofu. Ila nina swali moja juu ya kisiwa hichi cha Fundo. Eti ukikalia Fundo, Raha unaionea wapi?

daaaaaaah we kweli upo Pemba kwa alie fika ndio atakuelewa tu haaaaaa haaaaaa ati ukikalia fundo Raha unaionea wapi????mhhhhhhhhh
 
:embarassed2: majina ya vitongoji vya Unguja, hayatusaidii chochote!!!!!

Leteni mada( topic ) zenye maana jamani.

Okuberwa
 
Yakhe naona watuchokoza hawa, msipo acha tutaandamana na kuvunja muungano ati.
 
Hahahaaaaaaa, nyie wachokozeni tu, wataandamana sasa ivi!! wana visa na visirani sijapataona! watatishia kuvunja ze muungano

wavunje tu kwani wana nini sa hizi??Eti Tanganyika nayo ina koloni,makubwa haya
 
Kuna Senge, na wakazi wake huitwa Wa-Senge....
 
:embarassed2: majina ya vitongoji vya Unguja, hayatusaidii chochote!!!!!

Leteni mada( topic ) zenye maana jamani.

Okuberwa
Hizi ni jokes na naujua unaelewa maana yake!
 
kule Tanganyika kwa wenzetu nako kuna haya :

Matombo

Kunduchi

Gongo la Mboto

na mengineyo
 
Vipi vitongoji vya Bukoba (kagera), Kamachumu
Kashai
amugembe..endeleza...
 
Back
Top Bottom