Nazjaz
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 7,799
- 9,255
Zuzu ana ndoto za kumuomba Gadafi aje agombee uraisi mwaka 2015.
Hadi leo ni miaka takriban hamsini uchumi umedorora, walala hoi wamekata tamaa.
Gadafi katawala Libya miaka 32, kageuza jangwa kuwa mashamba, umeme wa uhakika, miundo mbinu bora na raia wanafurahia matunda ya uhuru.
Gadafi si bora aje nchini kwetu atufanzie nchi yetu iwe kama pepo?
Mara Zuzu akashtuka usingizini