JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nimesikia eti huko Tanga kuna pub moja maarufu kwa kuuza kitimoto inaitwa hatutajani majina pub na hii ndo slogan ya wateja wake wote.Kwa wale ndugu zetu wa huko tanga,hizi habari ni za kweli?na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Haya majina ni ya watu wa wapi vile? Shemdodo shemweta sheruko sherukindo ... ... ... ... shetani... Nataka kujua maana nasikia ni wenyeji wa tanzania
0 Reactions
12 Replies
2K Views
wanaudh sana wabunge wa ccm kaz yao kukataa hoja za wapinzan hata kama ni za msingi kwa nch yetu! badilikeni lasivyo mkija majimboni tutawachapa..!
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Inakuwaje livuliwe gamba na kuwachwa sumu?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wana JF, napenda kuwafahamisha kuwa sasa wasomi wetu wanaanza kuja na mwelekeo tofauti na tunavyoweza kudhani. Spika wa Bunge la chuo kikuu cha Dar es salaam Daruso ambaye amemaliza muda wake...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Mama Chipoku kamuuliza baba Chipoku mbona vinyago unachonga vizuri sana lakini watoto wako wana sura mbaya sana? Baba chipoku akajibu Vinyago nachonga nchana na watoto nachonga uchiku.
1 Reactions
1 Replies
1K Views
kuliombea taifa kila mtu anawajibu huo mimi huwa naliombea na sina kanuni kuwa leo nitasema nini mfano sasa nasema hivi `BABA YANGU WA MBINGUNI ULIENIUMBA MIMI NA WATANZANIA WENZANGU, NA UMETUUMBA...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nilikuwa nawasiliana na rafiki yangu wizara ya nishati na madini kuhusu uzalendo na upendo ndani ya wizara, cha kushangaza ni jinsi gani wafanyakazi serikalini wanalazimishwa kujionyesha kuwa ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
BABA wa Taifa hayati Julius Nyerere aliwahi kusema: "Upinzani wa kweli utatoka ndani ya CCM''. Kauli hii sikuielewa na sikujua lengo la kusema vile wakati yeye ni miongoni mwa waasisi wa chama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Haya yanaweza ikawa ni dalili gani tena WanaJF? Imetokea hapo Iringa.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
hii ni ishara ingine kwamba ccm bado ina magamba mengi zaidi ya iliyojigambua. mimi nafuatiliaga kauli za wana-ccm kwanzia herufi ya kwanza, koma, nukta, vifungua na vifunga semi, alama za...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Ataanza saa ngapi naona kuna maigizo tu
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau napenda kujua kwa nn wanawake wanapovaa fulana na suruali,lazima wainyanyue fulana kwa nyuma..kwann?
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Mpambano bado unaendelea kati ya Timu ya CCM na CDM. Mpaka sasa CCM wameshabadilisha wachezaji (CC) lakini bado wanazidiwa kimchezo. Mechi ya kwanza CCM wamashapoteza baada ya kuleta Muswada wa...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
This dog,is dog,a dog,good dog,way dog,to dog,kip dog,an dog,idiot dog,busy dog,for dog,20 dog,seconds dog!..now read without the word dog.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
0000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000
0 Reactions
63 Replies
6K Views
kila nikiusikiliza,unanipa faraja lakini mwishoni narudi pale pale kuwa home sick:redfaces:
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nyani haoni- varisa miwani. Debe tupu- weka dengu au choroko. Masikini akipata - iko acha katika jumba ya watu. Asie sikia la mkuu- pelaka polisi. Penye wengi- iko kutano ya ccm. Penye kuku wengi-...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Vijana wawili katika harakati za kutafuta kazi, waliingia kwenye quiz ya kuongea, marafiki wawili hao walikuwa wakisaidiana mambo mbalimbali ya kimaisha walikubaliana aingie mmoja ambaye yuko...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom