Natafuta msichana wa kuoa

Natafuta msichana wa kuoa

Joined
Mar 4, 2011
Posts
34
Reaction score
3
0000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000
 
kidogo niseme jena anakufaa
 
Kigezo kimoja tu kimenikosesha mchuchu! Dah.
 
Ndo nimeshampa green light hapa nasubiria posa via PM!

Haya kijana mchukue binti mtamu na mrembo Lizzy, tena Premium Memba huyo aanze kuitwa Lizzy Master Detectie
 
Kigezo kimoja tu kimenikosesha mchuchu! Dah.

Huyu nae
Kila sifa hana
Hata useme nini atakwambia hana
Utataja sifa 7 atakwambia sifa zote anazo isipokuwa namba 1 hadi 7 ndio hana
 
wana jf pocbo mshkaji yupo serious sana siyo fresh kumtania, especial lizzy na michelle nyie siwawezi.
 
Haya kijana mchukue binti mtamu na mrembo Lizzy, tena Premium Memba huyo aanze kuitwa Lizzy Master Detectie

Uwii nlikua sijafikiria jina!Hapa ntamwomba nibaki na lakwangu!
 
Back
Top Bottom