Jifunze methali za kihindi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jifunze methali za kihindi

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by mkomavu, Apr 15, 2011.

 1. m

  mkomavu Member

  #1
  Apr 15, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nyani haoni- varisa miwani. Debe tupu- weka dengu au choroko. Masikini akipata - iko acha katika jumba ya watu. Asie sikia la mkuu- pelaka polisi. Penye wengi- iko kutano ya ccm. Penye kuku wengi- chinja bili tatu. DUH KWELI WAHINDI NOMA.
   
 2. Mr.Professional

  Mr.Professional JF-Expert Member

  #2
  Apr 15, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 1,602
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Maji ukiyavulia nguo - iko ona uchi
  Bandu bandu - jirani yake na sadru
  Usipoziba ufa - miji chugulia dani au matoto iko chugulia dani
  Mtaka cha uvunguni - inua matanda au tuma matoto
   
 3. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #3
  Apr 15, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Alikuwepo mama mmoja wa kihindi, akipenda sana wanaume wa kiafrika(GOLO). Basi Katika mambo ya kikubwa akisema hivi: HAPANA TIA MAJI DANI, Yaani usimkojolee kisa anaogopa kuzaa Mtoto (GOLO). SITIE MAJI DANI Eeh. NAOGOPA.
   
 4. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #4
  Apr 16, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Ndege wa aina moja.....huruka Airport.
   
 5. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #5
  Apr 16, 2011
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  fimbo ya mnyonge.........rungu kubwa
   
 6. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #6
  Apr 16, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Sikia bana polisi.mimi hapana kosa.mimi naendesa gari nasangaa mtu naruka toka nyuma paka bele ya gari.sasa sikya kama mutu moja nakufa hakuna tabu bana.kama kila siku mungu yetu na chinjwa sisi pana lalamika.
   
 7. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #7
  Apr 16, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Masikini na wanawe...tajiri tuma wote.
   
 8. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #8
  Apr 17, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Wakati veve nomba kazi makono nyuma sasa mapata kazi makono bele.
   
Loading...