Ushirikiano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushirikiano

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Wisdom, Apr 15, 2011.

 1. Wisdom

  Wisdom JF-Expert Member

  #1
  Apr 15, 2011
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 473
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vijana wawili katika harakati za kutafuta kazi, waliingia kwenye quiz ya kuongea, marafiki wawili hao walikuwa wakisaidiana mambo mbalimbali ya kimaisha walikubaliana aingie mmoja ambaye yuko vizuri kichwani ili akitoka ampatie mwenzie majibu.
  Kwakuwa muda ulikuwa mdogo sana na watahiniwa walishagundua kuwa maswali yalikuwa yakijirudia basi yule jamaa aliyeingia wa kwanza alipotoka akaamua kumpatia mwenzie majibu tu.
  SWALI LA 1 KUTOKA KWA MWAJIRI: WHEN WAS TANZANIA INDEPENDENCE?
  JIBU LA BRIGHT STUDENT: IT WAS SUPPOSE TO BE 1960 BUT IT POSTPONED TO 1961 DUE TO MANY REASONS.
  SWALI LA 2 KUTOKA KWA MWAJIRI: WHO BROUGHT INDEPENDENCE?
  [FONT=Bradley Hand
 ITC]JIBU LA BRIGHT STUDENT[/FONT]: SO MANY PERTICIPATED BUT IT WAS MWALIMU NYERERE AND KAWAWA WHO FINALISED IT.
  SWALI LA 3 KUTOKA KWA MWAJIRI: IT BELIEVES THAT IN MARS THERE ARE LIVING THINGS,DO YOU BELIEVE?
  JIBU LA BRIGHT STUDENT: SOME SAY YES,SOME SAY NO BUT SCIENTISTS ARE STILL INVESTIGETING.

  Sasa alipoingia yule kijana ambaye uwezo wake darasani haukuwa mzuri na kwakuwa alikuwa amekariri majibu tu ilikuwa ni patashika humo ndani ya chumba cha mtihani.
  SWALI LA 1 KUTOKA KWA MWAJIRI: WHEN WERE YOU BORN?
  JIBU LA STUDENT MJINGA: IT WAS SUPPOSE TO BE 1960 BUT POSTPONED TO 1961.
  SWALI KUTOKA KWA MWAJIRI: WHAT?!!!!!!!!!!! WHO IS YOUR FATHER BY THE WAY.
  JIBU LA STUDENT MJINGA: SO MANY PERTICIPATED BUT IT WAS MWALIMU NYERERE AND KAWAWA WHO FINALISED IT.
  SWALI LA 3 KUTOKA KWA MWAJIRI: OHHHHHH MY GOD! ARE YOU CRAZY?
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Apr 15, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Hahahahaha!
  Hujamalizia jibu la are you crazy?
  I lv t.
  T'nx.
   
 3. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #3
  Apr 16, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mkuu hii jana kuna mtu kaishaituma humu lakini wewe nadhani umeilezea vizuri, imetulia
   
 4. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #4
  Apr 16, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! haaaaaaaa, dddaaaah asante sana finally hii imenichekesha.
   
 5. Wisdom

  Wisdom JF-Expert Member

  #5
  Apr 16, 2011
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 473
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jibu la student mjinga:some say yes,some say no but scientists are still investigeting.
   
 6. x

  xkamzy Member

  #6
  Apr 16, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 62
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  Je yule mjinga alipoulizwa are u Crazy alijbu vp??
   
 7. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #7
  Apr 16, 2011
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  :laugh::laugh::laugh::laugh::laugh:
   
Loading...