Madhara ya nyoka ni sumu na sio gamba. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madhara ya nyoka ni sumu na sio gamba.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Sonara, Apr 18, 2011.

 1. Sonara

  Sonara JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2011
  Joined: Oct 2, 2008
  Messages: 730
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Inakuwaje livuliwe gamba na kuwachwa sumu?
   
 2. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #2
  Apr 18, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Wewe wasema. Tutaendela kung'atwa.
   
 3. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #3
  Apr 18, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Na kungátwa zaidi, na tusipoangalia mwili utaoza kwa sumu!
   
 4. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #4
  Apr 18, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Loh umenena kifupi na kiukweli,
  Gamba unaweza kulichezea utakavyo na hata ukajifunga shingoni, mkononi, mguuni au hata kiunoni. Tena gamba mara zote huwezi kulivua kwa nyoka bila ya muda wake mdudu huyo kujivua tena kwa hiari, katu huwezi kulazimisha kumvua gamba nyoka pasi hiari/ridhaa yake mdudu huyo tena kwa wakati maalum. Lakini sumu weeeee....thubuuuutuuuuu!!
  Ni mithili ya kiini macho 'kuwavua' magamba, wao 'wanaotakiwa kuvuliwa' wangejitamkia kujivua gamba (tena kwa hiari) hapo lingeeleweka vema kimantiki lakini sio hizi ngonjera.
   
Loading...