WanaJF! KUKU ATAGA HUKU AKIWA AMETOTOA KTK CKU MBILI.

Haya yanaweza ikawa ni dalili gani tena WanaJF? Imetokea hapo Iringa.
iringa kila mwaka vihoja tumesha wazoea, kwani mwaka juzi hukohuko iringa matamba kuna ng'ombe alikula kuku,
sehemu za siri za mwanamke aliyekuwa shambani,mara watu vimenatiaana wakiwa wanakula mavituzi mwaka 2003 hapo njombe
hospital ya kibena nk. nadhani ni laana ya kula mlinzi wa nyumba....
 
Yaelekea mambo ni mengi kwa hawa ndg ze2! Mi niliona ni mpya kumbe hili ni dogo sana. 2waache walivyo.
 
pamoja na yote haijarishi tumewazoea ila inatakiwa mimi na wewe tuwaombee visirudie tena. hakuna sehemu ambako hayatokei mambo ambayo siyo ya kawaida na sehemu nyingine!. wote tunavyo hata sisi kwetu vipo vya aina yake mtusaidie kuomba nako, hata kwako vipo tusaidiane kuombea na kukemea kwakuwa kwamaombiyako na yangu tutawasaidia wenzetu na badae tutasimulia mazuri yao tu!
 
Wataalamu wa sayansi ya viumbe wanaweza kutufafanulia kama hii kitu inawezekana kabla ya kuconclude kivingine..
 
Haya! Wale wanasayansi wa Jf hebu fanyieni hilo kazi la kuku kutaga ingali ametotoa ktk 2days.
 
Back
Top Bottom