ccm na mashangingi wao bungeni

msaka mahela

Member
Jan 6, 2011
10
3
wanaudh sana wabunge wa ccm kaz yao kukataa hoja za wapinzan hata kama ni za msingi kwa nch yetu! badilikeni lasivyo mkija majimboni tutawachapa..!
 
Niko naangalia bunge hapa startv tangia asubuhi wabunge wa ccm wanafanya kukataa kila hoja ya CDM,yaani utadhani yanayoongewa na Chadema wao hayawahusu,mm nadhani kuna haja ya kutumia njia nyingine kuliko hii ya sahvi ya kusema Ndiyo ama Siyo..(ccm are best fools) lakini uzuri huku majimboni tunawangoja wafanye ujinga wao hatutaacha kuwachapa bakora za miaka5, ...kilichowanyima kura 2010 siyo ufisadi tu,hata hizi SIYO/NDIYO kwa ushabiki zitawamaliza ..yaani nyie hata hamjui tatizo lenu nn maskini,labda sheikh Yahya awasaidie
 
La kushangaza ni kwamba baadhi ya wabunge hawakuwepo wakati hoja ya lissu inaongelewa wameenda kuitwa ili waje kupiga kura. Wengi wao ni ccm. Sasa hii kweli ni haki jamani?
 
yaani kwa kweli huyu Tundu Lissu anafanya haswa homework zake kwenye hii mijadala..yaani anawaburuza lakini CCM ni wabishi pasipo kuwa na maana
 
Tundu Lisu anafanya kazi na ni mpiganaji wa ukweli !! sina maana kuwa wabunge wengine wa CDM hawafanyi chochote hapana bali katika timu si unajua kuna mfungaji magoli ambae hupata shangwe kuliko wengine japokuwa asingeweza fanya hivyo bila teammates.

Peoples............Power TUNATAKA KATIBA MPYA KABLA YA 2015
 
La kushangaza ni kwamba baadhi ya wabunge hawakuwepo wakati hoja ya lissu inaongelewa wameenda kuitwa ili waje kupiga kura. Wengi wao ni ccm. Sasa hii kweli ni haki jamani?

Sasa jamani kama hawa wabunge wengi walikuwa nje ndo wakaitwa waongeze nguvu ya ndiyo, nisaidieni walijuaje hoja iliyokuwa mbele au walikuja tu kuongeza ndiyo
 
jamani mimi naona sasa wakati umefika wa watanzania kuandamana kumtaka huyu spika asiyejali maslahi ya wananchi aachie ngazi, maana anatakiwa ajue kuwa huku nje tunamuangalia na tunafahamu anachokifanya. bunge sio la chama ni la Tanzania, mimi ni mwanachama wa TANU nguzo zetu haziruhusu kufanya ujinga kwenye mambo ya kitaifa.
 
Ukweli umejulikana!
Mahakama mmeona wenyewe watetezi wenu walivyopigana kujaribu kuwanusuru lakini upambavu ukatawala kwa ajili ya wingi wa vilaza wa CCM.
MUNGU yupo!!!
 
Sisiemu bana! Badala ya hoja wanaleta vioja.
Mi nashindwa kubashiri mwisho wake.
 
Back
Top Bottom