Is True That Wafanyakazi Serikalini ni Wasanii CCM au Wengi Wanatafuta Kulisha Familia Zao? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Is True That Wafanyakazi Serikalini ni Wasanii CCM au Wengi Wanatafuta Kulisha Familia Zao?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by niweze, Apr 18, 2011.

 1. n

  niweze JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nilikuwa nawasiliana na rafiki yangu wizara ya nishati na madini kuhusu uzalendo na upendo ndani ya wizara, cha kushangaza ni jinsi gani wafanyakazi serikalini wanalazimishwa kujionyesha kuwa ni wanachama wa ccm ili wapendelewe mishahara na marurupu mbalimbali. Kweli ccm wameharibu taifa letu na tunakokwenda kinaweza kutokea kwamba hata Chadema wawe makini na siasa zinazoendelea. Lazima Chadema waonyeshe msimamo katika Katiba mpya na ukuaji wa sekta mbalimbali hasa private sectors ili wananchi wasitegemee kazi sehemu moja tu serikalini. Pili, huu mfumo wa ccm wa kupendeleana na kukumbatia mafisadi ukatizwe kabisa, lazima muundo wa serikali uwe neutral. Chama chochote kilichopo madarakani lazima kulazimishwe kuajiri the best candidate na kuwa inclusive kulinda mali za Tanzania. Mbona nchi zingine vyama vinashindwa na muuondo wa serikali unahusisha walioshinda na wasioshinda. The competition should remain on who has the best policies. Maybe it's time for Tanzanians to stop Opportunists from working inside our government.

  Obama says would include Republicans in cabinet | Reuters
  Osborne, Hague, Cable, Fox in Cameron's Cabinet as Liberal Democrats Join - Bloomberg
   
Loading...