There were once 2 brothers who lived on the 80th level. On coming home one day, they realized to their dismay that the lifts were not working and that they have to climb the stairs home.
After...
Mtoto mmoja aliibiwa yeboyebo zake akalia sana, ghafla akatokea mtu mmoja mzima akamuuliza
kwanini unalia?
mtoto akajibu,
nimeibiwa yeboyebo zangu,
yule myu mzima akamwabia nyamaza usilie...
Wiki moja baada ya harusi, Jamaa akaanza kurudi nyumbani akiwa ananuka sigara. Mke wake akakasirika na kumweleza kuwa mbona kabla ya harusi alisema havuti sigara? Kesho yake jamaa akarudi amelewa...
bin laden arrives in heaven and meets God and he was required to account for his life in the world, God decided he would give him a choice, so he told him; ''will you go to hell or USA?
A woman starts dating a doctor. Before too long she becomes pregnant and
they don't know what to do. About nine months later, just about the time she
is going to give birth, a priest goes into...
Watu 13 walifika kwenye guest house yenye vyumba 12 tu na kila mmoja alitaka chumba chake peke yake.Mhudumu alimpatia kila mmoja chumba.Alimchukua mtu wa 1 na wa 2 akawaweka chumba # 1.mtu wa 3...
A man was driving around 1.00 am alone in his car,he got to a check point.The policeman stopped him and asked for everything which he gave out.The policeman had nothing to ask again,in order to...
Watu wa chadema wanafiki sana! Eti wanalalamika viongozi wa ccm ni wafanyabiashara wanaochanganya na siasa! Mbona hawashangai mwenyekiti wao kufanya biashara? Slaa si amkemee basi kama yeye ni...
Source: Yahoofriends
Chodo walked into class every morning with a black eye. After a while his teacher got worried and asked him about it. Chodo's answer was: "Our house is very small miss. Me...
GIRLS USED TO SAY
1970>Love me But do not touch me.
1980>Touch me,but do not kiss me,
1990>Kiss me,But do not do any thing more,
2000>Do everything,But do not tell anybody,
2011>Do...
Baada ya kumaliza degree yake ya sheria mlimani Bwana Rwegoshora aliamua kurudi nyumbani Bukoba mjini na kufungua ofisi yake kwa ajili ya kuhudumia clients(wateja) . Siku ya kwanza wakati ndio...
Kauli za viongozi wa Chadema lazima ziangaliwe kwa Umakini mkubwa lasivyo Watanzania watazizoea na kushindwa kujua lipi ni kweli lisemwalo na viongozi hao!
Mbowe akiwa Kyela alisema kuna taasisi...
Kwa wale wan aojua lugha ya King'eng'e (English) Badili sentensi ifuatayo iwe kwa lugha ya kiingereza
"BABA MIMI NI MTOTO WAKO WA NGAPI?"
Nipati jibu hapo!!!
Wadau, mie leo usiku niliota Barack Obama (eee huyuhuyu Rais wa Marekani) ananitongoza na akataka niende nae Hanoi Vietnam kwa weekend..........yani it looked so real lol!! Ingekuwa kweli mbona...
Originally Posted by Mufiyakicheko
amani&utulivu ingawa viongozi wengi wanahubili amani ni unafiki huwezi ukasema kunaamani watanzania wachache wanaishi maisha yaanasa wengi maisha ya dhiki...
NAUNGANA na wanaosema Spika Anne Makinda hana uwezo wa kuongoza bunge; hasa bunge la sasa. Chombo hiki kikuu nchini Bunge kina majukumu matatu makuu: kutunga sheria, kushauri na kusimamia...
Kiatu alikuwa analalamika 'mimi Mungu kanionea, nakanyangwa, naendewa chooni......' M**o akamcheka akamwambia 'bora wewe, mimi tangu nibaleghe nafichwa kwenye chupi. Hata hewa sipati, nikitolewa...
Wadau...
Kuna jamaa yangu anatarajia kufanya workshop ya siku 5 pale Dom Mjini mwishoni mwa mwezi huu.
Anahitaji kujua ni hotel/ sehemu ipi nje ya mji(si mjini) anaweza kufanyia waorkshop yake...