Jioneeni kazi ya Great Thinker hapa chini...

Sizinga

Platinum Member
Oct 30, 2007
9,100
6,022
Originally Posted by Mufiyakicheko

amani&utulivu ingawa viongozi wengi wanahubili amani ni unafiki huwezi ukasema kunaamani watanzania wachache wanaishi maisha yaanasa wengi maisha ya dhiki wanakufa kwamalelya mlo mmoja kwasiku wanakosa elim hukuwachache wanapeleka watoto wawo ulaya tanzania tunautulivu si amani hawa wengi wakitambuwa hakizawo zamsingi amani hi yakinafiki itapotea wote tunataka amani watawara msituibie kwakisingizio cha amani mtuakisema uozo wenu mnakimbilia anatakakuvuluga amani..

Hiki ndio kiswahili gani ??

Update..:

Originally Posted by Mufiyakicheko

ccm wanafiki ukiwa mchapa kazi mzuli hawakutaki wanataka mafisadi tido kaibolesha tbc ametimuliwa wamewapachika watoto wa shangazi zawo..

Originally Posted by Mufiyakicheko

Ipo siku huko kuchakachuwa kutawatokea puwani dawa ya watumishi wetu nikuandamana bira maandamano hakieleweki
 
Nimejionea lakini kikubwa tunatakiwa tunaojua kuandika vizuri kiswahili tumsaidie. kajitahidi kiasi chake kuonyesha hisia zake
 
Lakini kaeleweka jamani, ufasaha wa herufi na sarufi labda ingekua katika mtihani wa kiswahili angekua katika matatizo.
 
ofcoz kaonyesha hisia lakini dah...unaweza kufikiri huyu ni m-mang'ati!!
 
Soma kifungu cha habari hapo juu kisha onyesha makosa kumi ya kiuandishi.... Asamehewe bure jamani uwezo wake ndiyo umeishia hapo ni mdogo wake Marcio Maximo huyo. Kwi kwi kwi! (simcheki)
 
Mambo ya facebook nini haya!

Nimependa sana ainisho lake la amani na utulivu!
Uwoga wa WATANZANIA NDIYO UNAOFANYA Tanzania IONEKANE KUWA NA Amani sana!
By the time tutaamka, sijui kutakuwa kumebakia nini hazina!
 
pj,ww ni gileti sinker!wakati wengine tumeona humour,ww umeweza kuona ukweli wa anachoongea mtu. wknd nilimuangalia kocha wa timu ya taifa ya ndondi (sijui ni m-mexico),anaongea vitu vyake ila vinaeleweka.mara nyingi tunawafanya watu wakose ujasiri wa uongea kizungu kwa kuogopa kuchekwa.com on guys,there is something to learn from everyone!
Mambo ya facebook nini haya!</p>
<p>&nbsp;</p>
<p>Nimependa sana ainisho lake la amani na utulivu!</p>
<p>Uwoga wa WATANZANIA NDIYO UNAOFANYA Tanzania IONEKANE KUWA NA Amani sana!</p>
<p>By the time tutaamka, sijui kutakuwa kumebakia nini hazina!
 
ofcoz kaonyesha hisia lakini dah...unaweza kufikiri huyu ni m-mang'ati!!

Wewe bwana we..unawafahamu hao unaowaita Waman'gati? Acha prejudice zako, kwanza hawaitwi hivyo wanaitwa Wadatoga na pili Kiwahili chao hakifanani hivyo kwani wao si owabantu kama wewena wengine wasiojua kutofautia sound "ra" na "la". Pia kudharau watu ni kitu kibaya sana, it is an offence....heshimu watu na wewe utaheshimiwa..
 
Originally Posted by Mufiyakicheko

amani&utulivu ingawa viongozi wengi wanahubili amani ni unafiki huwezi ukasema kunaamani watanzania wachache wanaishi maisha yaanasa wengi maisha ya dhiki wanakufa kwamalelya mlo mmoja kwasiku wanakosa elim hukuwachache wanapeleka watoto wawo ulaya tanzania tunautulivu si amani hawa wengi wakitambuwa hakizawo zamsingi amani hi yakinafiki itapotea wote tunataka amani watawara msituibie kwakisingizio cha amani mtuakisema uozo wenu mnakimbilia anatakakuvuluga amani..

Hiki ndio kiswahili gani ??

Siziga,
Umejuaje kama amendika Kiswahili na sio Lugha nyingine tofauti?
 
Originally Posted by Mufiyakicheko

amani&utulivu ingawa viongozi wengi wanahubili amani ni unafiki huwezi ukasema kunaamani watanzania wachache wanaishi maisha yaanasa wengi maisha ya dhiki wanakufa kwamalelya mlo mmoja kwasiku wanakosa elim hukuwachache wanapeleka watoto wawo ulaya tanzania tunautulivu si amani hawa wengi wakitambuwa hakizawo zamsingi amani hi yakinafiki itapotea wote tunataka amani watawara msituibie kwakisingizio cha amani mtuakisema uozo wenu mnakimbilia anatakakuvuluga amani..

Hiki ndio kiswahili gani ??
- Hizi lugha za kikabila huku JF zinaashiria tu kwamba hata ELIMU ya msingi ina matatizo makubwa.Mie sielewi lakini ninaamini kuna tofauti ya kuongea na kuandika ili kuwasilisha ujumbe.
 
Hivi kuwa great thinker ina maanisha nini? Nikiwa cjui kuandika kiswahili vizuri nakuwa sio great thinker? Achen hizo. Jamaa kaandika mambo ya msingi na yanaonyesha jinsi alivyo na uwezo wa kuelewa na kuchambua mambo. Msimcheke kwa lugha bali angalieni ujumbe.
 
Hunaona kiwaili kilivyokigum? Yani mwenzenu kajitaidikuweka hujumbe wake nanyie mnamchola! Hinasikitisha kwakweli. At list he know kiswail a litro.
 
Hunaona kiwaili kilivyokigum? Yani mwenzenu kajitaidikuweka hujumbe wake nanyie mnamchola! Hinasikitisha kwakweli. At list he know kiswail a litro.
Mh! leo! kazi ipo, hapo kwenye red kaaazi kweli kweli!!!!!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom