st gasper,dodoma hotel embu nenda hayo maeneo pako poa sn

Hapa si ndio mahali walipofanyia semina elekezi mawaziri wa MAGAMBA?

Usiende hapo bana, ni lazima itakuwa ni hoteli ya FISADI fulani hii!..uko tayari umtajirishe fisadi?

Subiri wenyeji wakutafutie sehemu ya tofauti!

Mmmhh jamani wewe PJ hiyo si ya .....aah ngoja nireserve my comment.
ungesema idadi ya washiriki ili upate ushauri mzuri,st Gasper ni conference kubwa sana hivyo kufanyia workshop ya watu wachache ni hasarapanahitajika nje ya mji ili wanaopewa traing wasishawishike kuchepuka town na kuonekana wakati wa mlo na kusign perdiems.... St. Gasper nimeambiwa gharama yao ni kubwa sana ktk package ya conference..
Nazidi lungoja ushauri wenu.. Ahsanteni..:israel:
ungesema idadi ya washiriki ili upate ushauri mzuri,st Gasper ni conference kubwa sana hivyo kufanyia workshop ya watu wachache ni hasara
Ahsante mkuu.. napenda sana filamu za mwenye hiyo Avatar(Tom the cat):whoo:nenda MODERN HOTEL..then usiku karuke disco 84...mchana kale nyama choma Rose Garden au Jacuana....kapige picha Nyerere Square ....mademu kachukue CHAKO NI CHAKO
nenda MODERN HOTEL..then usiku karuke disco 84...mchana kale nyama choma Rose Garden au Jacuana....kapige picha Nyerere Square ....mademu kachukue CHAKO NI CHAKO
Mahali pazuri ni AFRICAN DREAMS, IPO KARIBU NA loyal village. Pana swimming pool kubwa na ya ukweli, mazingira ni tulivu pia ni karibu na mlima wa mlimwa ambapo juu yake yanajengwa makazi ya Waziri Mkuu. African Dreams ni pazuri ha'fu utapata huduma at affordable prices.
All the best
ungesema idadi ya washiriki ili upate ushauri mzuri,st Gasper ni conference kubwa sana hivyo kufanyia workshop ya watu wachache ni hasara