Dah! Mkuu kumbe we school bus bana halafu unadanganya ni la saba B....lol!Ngoja nijiume ume,"Father,in which birth order am i among my siblings ?or,"Father,in which birth order am i among your children?
Ngoja nijiume ume,"Father,in which birth order am i among my siblings ?or,"Father,in which birth order am i among your children?
short and clear,swafi kabisa!how many numbers of me for your children
"BABA MIMI NI MTOTO WAKO WA NGAPI?"
FATHER I IS CHILD YOUR OF HOW MANY?...
Angalia kwenye dictionary ka unabisha...
FATHER I IS CHILD YOUR OF HOW MANY?...
Angalia kwenye dictionary ka unabisha...
watu mmepinda jamani!!!Khaa! Nimejaribu kunata na herufi imekuwa balaa! Ngoja niegemee ukuta kwanza nione kama ulimi hautajifunga pindo au kuvilia damu kwa kugombana na kidhungu! Sisi wa sekondari za kata hatuna chetu hapo... Khaaa! Vibaya jamani... Mnatutenga.
Hako katoto hakana ndgze kakajihesabu kenyewe??
Kwa mwendo huo hakachekewi kumwambia baba ake kwamba mama kasema mimba ya kunizaa mm alikusingizia ni yayule muuza duka
hahahahahaha!!!!