Alivyokuoa amepunguza vituko | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Alivyokuoa amepunguza vituko

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Wa Nyumbani, May 11, 2011.

 1. Wa Nyumbani

  Wa Nyumbani JF-Expert Member

  #1
  May 11, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 432
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Wiki moja baada ya harusi, Jamaa akaanza kurudi nyumbani akiwa ananuka sigara. Mke wake akakasirika na kumweleza kuwa mbona kabla ya harusi alisema havuti sigara? Kesho yake jamaa akarudi amelewa sana. Mke wake akazidi kukasirika na kulalama.

  'Ulisema hunywi pombe, mbona unakunywa?"
  Siku iliyofuata kukazuka zogo mtaani. Mwanamke alipokwenda kwenye tukio akakuta jamaa amefumaniwa na mke wa mtu. Mke akabaki ameduwaa!

  Mwanamke mmoja jirani yake akamwambia,
  "Shoga usishangae, huyu mume wako ni mtu wa vituko hapa mtaani. Hivi alivyokuoa tunaona amepunguza vituko, ni mlevi kupindukia, mvuta bangi na ni mzinzi mkubwa. Ametembea na wanawake karibu wote hapa mtaani. Usituone hivi, wenzako tunajuta!!"
   
 2. K

  KILOTI Member

  #2
  May 11, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona hizo tabia simple.
   
 3. s

  shosti JF-Expert Member

  #3
  May 11, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  hahahahahaahahha nshashuhudia kisa kama hiki kinondoni,ila kuna gumegume liliingia na mlango siku ya tano tangu bidada kaingia ndani,kila siku vikao kwa mjumbe mume anasutwa na waume za watu kwa kuwala tigo wake zao
   
 4. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #4
  May 11, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Du! hii hatari
   
 5. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #5
  May 12, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  eti kapunguza, duh hii hatari
   
 6. M

  MONTESQUIEU JF-Expert Member

  #6
  May 12, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 847
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mchafu mkubwa!
   
Loading...