Kiatu na m**0 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiatu na m**0

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Globu, May 10, 2011.

 1. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Kiatu alikuwa analalamika 'mimi Mungu kanionea, nakanyangwa, naendewa chooni......' M**o akamcheka akamwambia 'bora wewe, mimi tangu nibaleghe nafichwa kwenye chupi. Hata hewa sipati, nikitolewa humo naingizwa kwenye tundu lenye joto nasuguliwa mpaka natapika. Nikitolewa huko nipo hoi hata kusimama siwezi narudi tena kwenye chupi'
   
 2. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Wewe m***¤*¿¥*e utakuja upigwe Ban humu ndani hiyo topic km hii mara nyingine toa night ingali vichwa vimepoa
   
 3. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #3
  May 10, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 1,079
  Likes Received: 879
  Trophy Points: 280
  jamani tuwe makini na threads zetu,tutaja pigwa ban eti.
   
 4. A

  Aine JF-Expert Member

  #4
  May 10, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mods tuondolee matusi haya
   
 5. K

  Kundasenyi Member

  #5
  May 10, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Du! sina mbavu!!
   
 6. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #6
  May 10, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Wewe vipi? hujawahi ona matusi humu JF. Haya si cha mtoto tu.
   
 7. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #7
  May 10, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Mh, sijacheka, haichekeshi.
  Ni matusi matupu! Mods iondoeni!
   
 8. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #8
  May 10, 2011
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  msameheni bure huyo kaingia mlango sio wake.... Mods msaidie kupitisha mlango husika
   
 9. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #9
  May 10, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mi cyant xpress mi feelings right na!
   
 10. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #10
  May 10, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Duu! nguvu zimeniishia
   
 11. a

  allydou JF-Expert Member

  #11
  May 11, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 1,486
  Likes Received: 572
  Trophy Points: 280
  humu JF kuna harufu ya ubaguzi, watu wengine wakiweka mada zao hata kama zina matusi hazikashifiwi, wengine wakiweka, hata kama zina matusi ya kawaida tu zitapondwa kama nini, sasa hii mada ina matusi gani ya kutisha jamani, na isitoshe ipo kwenye jokes, hebu tuwe waungwana.
   
 12. Maarko

  Maarko JF-Expert Member

  #12
  May 11, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,030
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Hayo siyo matusi kwa sababu zipo sehemu yake,Kwenye Jokes.
   
 13. Ernie

  Ernie JF-Expert Member

  #13
  May 11, 2011
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 218
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Allydou! hawa watu ni wa ajabu sana yaani ni wabaguzi vibaya mno alafu wanaona wenzao ni wabaguzi
   
 14. Ernie

  Ernie JF-Expert Member

  #14
  May 11, 2011
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 218
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ivi kwani humu kwenye Jokes tunatakiwa kuwa tunaandika nini? kuhusu Mungu ama kuhusu nini? mbona mtu akiandika kitu mnajifanya mnabusaaaaaaaaaaaara, kama vipi si msiwe mnaingia humu, acheni mambo yenu ya ajabu nendeni kwenye siasa kama mnataka mambo mengine
   
Loading...