Mtoto aliyeibiwa yeboyebo!

Mtoto aliyeibiwa yeboyebo!

Wisdom

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2010
Posts
498
Reaction score
127
Mtoto mmoja aliibiwa yeboyebo zake akalia sana, ghafla akatokea mtu mmoja mzima akamuuliza
kwanini unalia?
mtoto akajibu,
nimeibiwa yeboyebo zangu,
yule myu mzima akamwabia nyamaza usilie mwachie Mungu,
mtoto akajibu,
Mungu hazitamtosha ni ndigo sana.
 
Ahahahaaah!! Kama amewahi kumuona Mungu vile...
 
Back
Top Bottom