Mbowe naye ni Mfanyabiashara na Mwanasiasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbowe naye ni Mfanyabiashara na Mwanasiasa

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Tolowski, May 11, 2011.

 1. T

  Tolowski Senior Member

  #1
  May 11, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 122
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watu wa chadema wanafiki sana! Eti wanalalamika viongozi wa ccm ni wafanyabiashara wanaochanganya na siasa! Mbona hawashangai mwenyekiti wao kufanya biashara? Slaa si amkemee basi kama yeye ni mzalendo,au anaogopa kufukuzwa atakosa mil7 kwa mwezi,duh bonge la dili! Mnapoinyoshea mkono ccm,jueni kwamba mnamtouch mwenyekiti wenu indirectly! Mvueni gambizo! Jamaa anamiliki danguro
   
 2. K

  Kichakoro JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2011
  Joined: Sep 10, 2008
  Messages: 1,556
  Likes Received: 1,322
  Trophy Points: 280
  Hata magamba yako hayajakomaaa tayari umeanza kuattack.
   
 3. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #3
  May 11, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,792
  Likes Received: 2,400
  Trophy Points: 280
  unajua baba yake mbowe marehemu ndiye aliye mpa suti nyerere wakati akienda uk kwa malkia kuomba uhuru wa tanganyika?biashara freeman mbowe kaikuta ni ya baba yake!yeye ni mwanasiasa
   
 4. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #4
  May 11, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,230
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  Then what?
   
 5. Mlengo wa Kati

  Mlengo wa Kati JF-Expert Member

  #5
  May 11, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 2,733
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hata Ndesamburo ni Tajiri na ni Mfanyabiashara! Chadema wanaseama mfanyabiashara wa Chadema ni mzalendo kuliko yule aliyepo CCM! Unafiki mtupu!
   
 6. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #6
  May 11, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,903
  Likes Received: 5,365
  Trophy Points: 280
  swala sio kuwa mfanyabiashara ila je biashara zako za halali na sio za kuiba fedha za umma kama rostam na lowassa??george bush alikuwa mfanyabiashara mzuri wa mafuta lakini haikuwa biashara ya kifisadi
   
 7. M

  Mbwazoba Member

  #7
  May 11, 2011
  Joined: May 5, 2011
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hahahahaaaaaaaaaaa naabii na maisha yake.
   
 8. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #8
  May 11, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  vichaa wengine bana,...
   
 9. T

  Tolowski Senior Member

  #9
  May 11, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 122
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waache kulia lia basi biashara itenganishwe na siasa! Waseme kuna biashara safi na haramu! Wanafiki
   
 10. T

  Tolowski Senior Member

  #10
  May 11, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 122
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli mzee vichaa wengine bana!! Hasa hawa wa chadema
   
 11. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #11
  May 11, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ulifikiri mbowe ni ****-**** masikini kama huyo nanihii wenu?
   
 12. T

  Tolowski Senior Member

  #12
  May 11, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 122
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbowe ni tajiri mzee ndio maana slaa hakohoi mbele yake! Naskia anamwogopa mbwaaayaaaa!
   
 13. T

  Tolowski Senior Member

  #13
  May 11, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 122
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata babu yangu alimchangia nauli nyerere alipoenda kwa malkia! Lakini hajitangazi kama wakala wa tigo,kimya kimya tu
   
 14. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #14
  May 11, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa slaa unaenda mbali sana.


  kikwete na ufisadi wake wote hakohoi kwa mbowe
   
 15. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #15
  May 11, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  watu mliojiunga jf kuanzia tarehe 11 mwezi wa 4 2011 (baada ya ccm kujivua gamba) wengi wenu mna mtindio wa ubongo
   
 16. T

  Tolowski Senior Member

  #16
  May 12, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 122
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli mzee! Duh ulijuaje? Au slaa alikuropokea kama kawaida yake
   
 17. KIMBURU

  KIMBURU JF-Expert Member

  #17
  May 12, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 210
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Kuwa mwanasiasa haimaanishi uwe masikini, but ukutumia siasa kujitajirisha ndio kitu hasa tunachokipinga. Kama CDM ndio imemtajirisha Mbowe, basi ulikuwa na haki ya kuandika hayo uliyoyaandika, kama sivyo inabidi ukae chini na kufikiria juu ya uwezo wako wa kufikiri. But kwasababu fedha za uma zinawatajirisha JK, Lowasa, Rostam na wengine, then CDM wana kila sababu ya kuendelea kulikemea hilo.

  NADHANI UNGEFIKIRI KWANZA KABLA YA KUANDIKA HUO UOZO WAKO MKUU!!!!!!
   
 18. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #18
  May 12, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 3,337
  Trophy Points: 280
  Mzee wa gamba acha mambo yako bana.
   
 19. Miya

  Miya JF-Expert Member

  #19
  May 12, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 817
  Likes Received: 1,208
  Trophy Points: 180
  Ndio Mbowe mfanyabiashara mkubwa sana toka enz za mwalimu,vp ndo unajua leo nn?
   
 20. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #20
  May 12, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Duh, hilo jina la kirusia ni la kiume au kiburudisho
  wewe umekosea website nenda kwa mange

   
Loading...