jamani wana JF!
kuna jambo linanitiza sana hapa, kuna maduka yanayouza nguo hapa Mwenge maarufu kwa Boutique ukiingia maduka haya utakutana na vijana wa kiume age yao ni miaka 14-17 wanauza nguo...
Fataki alimpa lift dada mmoja aliyekuwa ametoka church, kwa kuwa dada alikuwa amebeba biblia fataki alijua yule dada kaokoka. ndani ya gari Fataki kila akibadili gear anamgusa mapaja yule dada...
(John):Wife anajifanya jasiri,lakini leo nimegundua anaogopa kitu gani. (Henry);Enhee,nambie umegundua nini? (John);anaogopa maji mpaka anaingia na yule bodyguard wangu James bafuni!
Saidimu ana mbuzi kadhaa na Seleli ana mbuzi kadhaa. (i)Ukichukua mbuzi mmoja wa saidimu ukampa seleli,idadi ya mbuzi wa seleli itakuwa mara mbili ya idadi ya mbuzi wa saidimu. (ii)Lakini...
SOMA BARUA YAKE ALIYOANDIKA KUSEMA POSHO ZAKE ZIREKEBISHWE AKAUNTI NA ZIPELEKWE KIGOMA. ETI KIGOMA KATIKA MAENDEKE YAKE CJUI ALIMAANISHA MAENDELEO YAKE AU VIPI? JITAHDDDDDDD KUWA MAKIKI...
Ukiwa una drive gari yako kwa spidi ya mwanga(speed of light=3x10^8),then ukawasha headlights(taa za mbele) full,nini kitatokea kwa huo mwanga wa taa ulizowasha?
Leo Spika ametangaza kuwa Waziri Mkuu na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni wana udhuru wa kutohudhuria kikao cha asubuhi.
Waziri Mkuu alikaimu madaraka yake kwa Shamsi Vuai Nahodha.
Mbowe...
Mvuvi mmoja karudi kwake na samaki mkubwa aina ya chewa(anaishi kwa muda nchi kavu) akamwabia mkewe afanye haraka wamkaange ana njaa, mke akamjibu mafuta dukani yamepanda bei, akamwambia mbanike...
mtaani kwetu kuna mpemba anawatoto wawili, mkubwa wa kike(7) mdogo wa kiume(5), siku moja mi na rafki angu tukamwita yule wa kiume tukamuuliza hivi we ni mwanamke au mwanaume..!! akasema mwanaume...
Msomi mmoja alikutana na mvuvi moja katika chombo yaani mtumbwi walikuwa wakivuka kuelekea ngambo ya pili. Yule msomi akamwambia yule mvuvi ndugu yangu wewe umesoma? yule mvuvi akamwambia duu...
Utawezaje kumtambua mwenzio kwamba huyu ndo labda bujibuji, maralia sugu, dena amsi, hmaster nk bila ya kujitambulisha. Mi ntaangalia lafudhi zao tu, je wewe!:majani7:
A dog asked a Cat:
Dog: Why do you hide when having sex…?
Cat replied: Because we don't want human to copy our style.
They have already copied yours!
Msomi mmoja alikutana na mvuvi moja katika chombo yaani mtumbwi walikuwa wakivuka kuelekea ngambo ya pili. Yule msomi akamwambia yule mvuvi ndugu yangu wewe umesoma? yule mvuvi akamwambia duu...