Manyanza
Platinum Member
- Nov 4, 2010
- 19,946
- 45,572
jamani wana JF!
kuna jambo linanitiza sana hapa, kuna maduka yanayouza nguo hapa Mwenge maarufu kwa Boutique ukiingia maduka haya utakutana na vijana wa kiume age yao ni miaka 14-17 wanauza nguo katika hayo maduka, ingawa mimi sio mkaaji sana wa dar es salaam lakini mara nyingi kila week end huwa nakuja Dar na ni lazima nipite angalau madukaa kadhaa kuangalia nguo, viatu na vitu vingine vinavyonifaa na katika maduka 7 utakayoingia maduka manne lazima utakuta hao machalii wanapiga business.. mara ya kwanza nilidhani ni week end tu, kumbe sivyo week hii nimefanya utafiti kuanzia jumatano mpaka ijumaa na kugundua hawa machalii wapo full time.
jamani hawa madogo wanasoma saa ngapi?
ina maana wenye maduka wameridhika na hiyo hali ya kuwaweka machalii katika maduka yao bila kuwapeleka shule?
jamani naomba hili tulitafakari sote kama watanzania tunaotaka kujikomboa kutoka katika ujinga.