Hebu tufikirie huu msemo.. 'MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA'...je umetimia kwa asilimia ngapi? Tukumbuke utawala wa Nyerere.. Kipindi kile kulikuwa kuna tofauti ndogo sana kati ya viongozi na...
Wanajanvi,
Leo majira ya mchana wadiwani watatu kati ya watano waliopigwa chini na CDM Arusha walinusurika kula kichapo maeneo ya OTTU mjini kati katika eneo ambalo huwa limejaa wafanyabishara wa...
‎(1) FINE: This is the word women use to end an argument when she knows she is right and you need to shut-up.
(2) NOTHING: means something & you need to be worried.
(3) GO AHEAD: this...
Nakumbuka kipindi niko Primary nilikua nasikia Ugomvi kati ya Azania na Tambaza..miaka ya 90"s....bahati nzuri au mbaya..nami nikachaguliwa..kusoma pale Azania..sasa..kulikuwa na ile michezo ya...
Kuna kijana mmoja alikuwa kibaka sana hapa duniani na alipofariki na kuzikwa akatokea mbinguni. Akiwa mbinguni akakuta watu wengi wakikabidhiwa tiketi kwa ajili ya kwenda aidha peponi au motoni...
Jamani nimefungua wall yangu ya fb na kukutana na hii issue, kiukweli nimeshtuka, sikitika na kushikwa na wasiwasi, Hebu soma uone jinsi huyu mtu alvyofanya unyama huu.
"Friends, jana...
You saw a shirt for £97. You didn't have enough cash so you borrowed £50 from your mum and £50 from your dad =£100. You bought the shirt and had £3 change. You gave your mum £1 and your dad £1...
sidhani kama kuna tafiti mahsusi juu hili.nafaham matajiri wetu wengi wa kitanzania kwa sabab wanazo zijua wao wenyewe hawapendi kuweka hadharani utajiri wao.
sasa kazi kwetu waana JF bila...
Jamaa wawili walienda msituni kuwinda.Walipokuwa huko walifanikiwa kumuua swala mmoja.Wakiwa katika harakati za kumbeba,mara ghafla wakashambuliwa na nyati na mmoja wao kujeruhiwa vibaya.Jamaa...
SAKATA la kondoo aliyezaliwa akiwa na maneno ya Kiarabu yenye maana ya neno Yasini, neno ambalo ni moja ya aya katika Koran Tukufu, limechukua sura mpya baada ya familia inayomiliki kondoo huyo...
thank you god for the gift of life, a life of peace, joy and serenity; full of charming parents, family, and friends. On my birthday, i always ask you to endow me with your spirit; that i may...
Teacher: Okay kids, I want you to make a sentance with 'liver' and 'cheese'.
The Rich kid: Yesterday my mom bought fresh liver and 500gr of cheese to cook pate and cheese cake. It was delicious...
''A Girl enters a S3X shop... GIRL: Where is the vibrator section!? CLERK: Over there madam GIRL: How much 4 this big red one? CLERK: Sorry madam, that is a fire extinguisher!.
Dini zetu zinatufundisha tuamini kuwa ukitenda mema, ukawacha maovu na ukamwamini Mungu wako, utaingia Peponi. Mara nying kwenye nyumba za ibada na mihadhara tunaambiwa:
"Usishughulishwe na raha...
About thirty lunatics were being transported by plane to another holding facility(Mirembe like).
They were thought to be recovered enough not to be escorted by a warden to their new destination...
Guyz am in town, where are u?
Lets keep in touch this evening?
Even if ur Usalama( All those who are here looking for what some one is doing) or Else please where are u?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.