Akina nani matajiri 10 bora tazania? Ukiacha waarab na wahindi

kadoda11

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
21,453
20,712
sidhani kama kuna tafiti mahsusi juu hili.nafaham matajiri wetu wengi wa kitanzania kwa sabab wanazo zijua wao wenyewe hawapendi kuweka hadharani utajiri wao.
sasa kazi kwetu waana JF bila kusukumwa na fikra binasi/kisiasa tufahamishane matajiri wetu wanaoiendesha tz
kwa pesa na mali.
kwa wanaopenda kupata chanagamoto tembeleeni hapa
The World's Billionaires - Forbes.com
 
Back
Top Bottom