Madiwani wasaliti Arusha wanusurika kupewa kibano maeneo ya OTTU leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madiwani wasaliti Arusha wanusurika kupewa kibano maeneo ya OTTU leo

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by ngurati, Aug 9, 2011.

1. n

ngurati JF-Expert Member

#1
Aug 9, 2011
Joined: Feb 14, 2011
Messages: 221
Likes Received: 1
Trophy Points: 35
Wanajanvi,

Leo majira ya mchana wadiwani watatu kati ya watano waliopigwa chini na CDM Arusha walinusurika kula kichapo maeneo ya OTTU mjini kati katika eneo ambalo huwa limejaa wafanyabishara wa madini kwa kitendo chao cha kusaliti umma wa wanaarusha. Iliwalazimu kuingia kwenye gari na kutoweka haraka haraka kwenye eneo hilo. Kwa kifupi walitukanwa sana matusi ya nguoni na machalii wa Arusha "Tokeni hapa, wasaliti hao, tuwachape, mlitupeleka baharini mkatutosa, bado tuna makovu ya risasi nyie mnatusaliti etc '

Madiwani hao walkuwa ni Estomih Mallah aliyekuwa diwani wa Kimandolu, John Bayo aliyekuwa diwani wa kata ya Elerai na Charles Mpanda (rasta) aliyekuwa diwani wa kata ya kaloleni.

2. F

FJM JF-Expert Member

#2
Aug 9, 2011
Joined: Apr 11, 2011
Messages: 8,088
Likes Received: 90
Trophy Points: 145
Wananchi (bila kujali chama) wakiwa wakali kwa viongozi tunaweza kabisa kukomesha hii tabia ya kununuliwa/umamluki. Muda umefika sasa kwa kila kiongozi kusimamia yale anayohubiri bila KURUDI nyuma. Hii tabia ya usaliti na kununuliwa imetugharimu sana kama taifa. Arusha onesheni mfano kwa kuwakataaa madiwani walisaliti hata damu iliyomwagika kutetea haki. Wengine watapata fundisho na pengine tunaweza kupata viongozi wanaoaminika. Wananchi tuwasimamie viongozi.

3. Mbaliche

Mbaliche JF-Expert Member

#3
Aug 9, 2011
Joined: Jul 6, 2011
Messages: 292
Likes Received: 22
Trophy Points: 35
safi sana vijana wa A town.

4. Daniel Anderson

Daniel Anderson JF-Expert Member

#4
Aug 9, 2011
Joined: Aug 7, 2011
Messages: 879
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Wangecharazwa bakora iwe fundisho kwa wote wanaofikiria matumbo na kuacha utaifa nyuma.
Halafu mmoja kaahidi kupeleka sakata mahakaman. Je hawawezi kucheza na mahakama kuharibu dhamira ya chama?

5. Chimunguru

Chimunguru JF-Expert Member

#5
Aug 9, 2011
Joined: May 3, 2009
Messages: 9,843
Likes Received: 270
Trophy Points: 180
gooood! Arusha kuweni mfano!

6. nditolo

nditolo JF-Expert Member

#6
Aug 9, 2011
Joined: Jul 2, 2011
Messages: 1,335
Likes Received: 300
Trophy Points: 180
Kwa taarifa tu hata aliyekuwa mwenyekiti wa CDM mkoa wa Mbeya Capt. SAMBWEE MWALYEGO SHITAMBALA hana raha muda mwingi anajificha nafsi inamsuta kwa kukubali kunuliwa na mafsadi. Hao madiwani wangepewa kibano iwe heshima ili hata CCM washindwe kuwanunua wengine.

7. Rugas

Rugas JF-Expert Member

#7
Aug 9, 2011
Joined: Jan 8, 2009
Messages: 1,053
Likes Received: 9
Trophy Points: 135

mbona kuna mshikaji ana ofisi maeneo yale namuuliza anasema leo hakujatokea tukio km hilo pale! We umezipata wapi mkuu?

8. t

tweve JF-Expert Member

#8
Aug 9, 2011
Joined: Jan 23, 2011
Messages: 696
Likes Received: 4
Trophy Points: 35
hao wasaliti hawana hata aibu !ningekuwa mimi ningewatwanga na mawe! Washenzi wakubwa hao

9. Mwita Maranya

Mwita Maranya JF-Expert Member

#9
Aug 9, 2011
Joined: Jul 1, 2008
Messages: 10,569
Likes Received: 104
Trophy Points: 145

Hivi suala la hawa watukutu kwenda mahakamani limefikia wapi?manake jana kuna mdau mmoja alidokeza kuwa ameng'atwa sikio kwamba leo wangefungua kesi mahakama kuu kanda ya arusha.

10. Crashwise

Crashwise JF-Expert Member

#10
Aug 9, 2011
Joined: Oct 23, 2007
Messages: 22,172
Likes Received: 862
Trophy Points: 280
na bado mpaka wapopole mawe na wapeleke hiyo kesi wanayo takakufungua hasira za machari zitahamia kwako..

11. Azimio Jipya

Azimio Jipya JF-Expert Member

#11
Aug 9, 2011
Joined: Nov 27, 2007
Messages: 3,370
Likes Received: 14
Trophy Points: 135

Good start Arusha ... Get going .. go ..go ..!!

12. 3squere

3squere JF-Expert Member

#12
Aug 9, 2011
Joined: Aug 2, 2011
Messages: 928
Likes Received: 10
Trophy Points: 35
Good sana wajomba wa a town kaz nzuri sana

13. Wun

Wun JF-Expert Member

#13
Aug 9, 2011
Joined: Jun 16, 2008
Messages: 353
Likes Received: 3
Trophy Points: 35
CDM hadi raha...kwahiyo hao madiwani hawajaumia kwa mawe....mkimaliza hii kazi hapa wawatoe hata mdudu chali wangu

14. k

kamanda mkuu Member

#14
Aug 9, 2011
Joined: Aug 5, 2011
Messages: 15
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Hongera sana arusha kwa ushujaa na uhodari wa kuweza kuwakataa wale wote wanaokuwa wasaliti hilo ni fundisho kwa wote wabaya na kiukweli ingekuwa uyema kama wangepewa kichapo cha maana ili wakauguze vidonda hospitali

15. a

allanj Member

#15
Aug 9, 2011
Joined: Aug 2, 2011
Messages: 22
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Alhamisi jioni ndio mzuka utapanda vizuri sasa hivi watu wanahasira wanasubiria kupandishwa mzuka
Watajutia hizo chenchi mbuzi walizopewa

16. Mzee wa Rula

Mzee wa Rula JF-Expert Member

#16
Aug 9, 2011
Joined: Oct 6, 2010
Messages: 8,177
Likes Received: 89
Trophy Points: 145
Duuuuh kama ni kweli nadhnai watajuta kwa hayo waliyoyafanya, maana sikutegemea hata yule rasta angesaliti chama.

17. King'asti

King'asti JF-Expert Member

#17
Aug 9, 2011
Joined: Nov 26, 2009
Messages: 27,507
Likes Received: 2,248
Trophy Points: 280
sasa hivi wataibukia ccm! aibu zao na za wake zao!

18. p

plawala JF-Expert Member

#18
Aug 9, 2011
Joined: Jan 10, 2011
Messages: 627
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Ther is no way hawa jamaa wakapata public support AR

Ndipo watakapojua kwamba maamuzi waliyofanya hayakuwa sahihi.

Hii italeta nidhamu kwa viongozi wa umma wanaopenda kufanya maamuzi yanayolenga faida kwao huku wakisingizia wanaisaidia jamii

Go! AR GO!.....2X,3X,4X.....

19. G

Giddy Mangi JF-Expert Member

#19
Aug 9, 2011
Joined: Feb 14, 2011
Messages: 833
Likes Received: 8
Trophy Points: 0

Peoples Power,tunakuja Alhamisi makamanda wote hapo.

20. mtoto wa mfugaj

mtoto wa mfugaj Senior Member

#20
Aug 9, 2011
Joined: Jul 18, 2011
Messages: 136
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
kitendo kizuri hicho cha kuwaumbua wasaliti,wasaliti hawafai nchini na ni kikwazo katika harakati za ukombozi,dawa yao ni kuwaumbua na kuwaaibisha ili iwe fundisho kwa wengine ili wasikubali kununuliwa kama bazoka maana mwisho wake ni kutemwa tu

Loading...