Ungekuwa mod wa JF

Ungekuwa mod wa JF

Nazjaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
7,799
Reaction score
9,255
Je ni kitu gani special ambacho ungefanya na hakijafanywa na hawa mods waliopo?
 
pole NazJaz....mods wanabore,mie nisingewaboa watu kama wanavyofanya.....
 
mmmmmmmmmh!........ningewapiga ban watu kibao,lakn hili analifanya sana paw...sasa sijui ningefanya lipi,..anyway ngoja nifikirie in deep
 
Nisingewapiga ban wanaotoa maneno makali aka matusi,ningeanza na wanaowaudhi wenzao na kusababisha watukanwe,maana bila wao kutoa pumba wasingetukanwa.
 
Kuna mtu simpendiiii.. sijui kwa nini?
nadhani kwa hili sinasifa za kuwa mod maana ningekuwa namvizia kila kona nimpe mi ban tu.
 
mimi ningeanzisha jukwaa la wakongwe wenye busara!hadi upata access huku lazima uwe na posts zaidi ya elfu moja kwenye jukwaa la siasa!na uwe umetimiza 3 years tangu ujiunge na Jf!hapo wale wanaobadili id kwishne!
 
hivi mods wetu wana ufahamu na upeo wa kutosha wa maswala nyeti kama haki ya kuongea pasipo kukiuka maadili wala kuvunja sheria?
 
Kabla mtuhumiwa sijapa bun ningetoa nafasi mara tatu ajitete kuliko hawa mods wanavyofanya yani wanatulazimia kita mtu kuwa na id zaidi ya kumi!
Nadhani hii ingesaidia kujua idadi halisi ya members wa jf na kuweka uwanja mpana zaidi wa majadiliano bila woga!
 
Ningempoteza Faizafoxy kwenye ramani ya jf kwa kumpa ban mara kwa mara, huyu mtu huwa anakera mno.
 
Ningebandika sala ambayo kila atakaengia humu jamvini ni lazima aisome kwanza kabla ya kufanya kitu kingine.
 
Back
Top Bottom