Hivi kweli kuna Pepo baada ya mauti? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi kweli kuna Pepo baada ya mauti?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by MAMMAMIA, Aug 6, 2011.

 1. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #1
  Aug 6, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Dini zetu zinatufundisha tuamini kuwa ukitenda mema, ukawacha maovu na ukamwamini Mungu wako, utaingia Peponi. Mara nying kwenye nyumba za ibada na mihadhara tunaambiwa:
  "Usishughulishwe na raha za Dunia, fikiria kesho siku ya Hukumu. Tenda wema, epuka maovu, saidia, swali, usiibe..." na mengine kibao tu ambayo ukiyatenda unaahidiwa kwenda Peponi.

  Dini hizo hizo zinatufanya tuamini kuwa ni sisi tu wa dini yetu ndio tulio sahihi na wale wa dini nyengine wamepotea. Wataingia Motoni.
  Mfano, ikiwa Myahudi anaamini yeye ni sahihi na Waislamu na Wakristo wamepotea; Muislamu anaamini hivyo hivyo dhidi ya Wakristo na Wayahudi; huku Wakristo wakiamini kuwa wao ndio wameokoka na Wakristo na Waislamu wote...Jahannam! hii ina maana kuwa hakuna PEPO. SOTE tutaingia MOTONI kwa sababu hatufuati dini ya wengine!
   
 2. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #2
  Aug 9, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,791
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  huo ukristo na uislamu zote mlizijuwa baada ya wakoloni kuja hapo Tanzania.
  Imani zenu za asili ndizo zilikuwa ni njia sahihi za kumjuwa Mungu wako.
  Lakini mkaja mkapumbazwa na hao Miungu wenu wawili msiowaona wala kusikia sauti zao na kisha mkaachana na asili ya imani zenu.

  leo hii bila hata woga wala aibu eti mnasema zile imani zilikuwa ni potofu ila hizi mlizoletewa na wazungu na waarabu ndizo za ukweli...puuumbav
   
 3. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #3
  Aug 9, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,041
  Likes Received: 6,478
  Trophy Points: 280
  [FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]1Samweli 24 "Lakini hakikisheni mnamcha BWANA na kumtumikia kwa uaminifu kwa moyo wenu wote, tafakarini ni mambo gani makubwa aliyotenda kwa ajili yenu. [/FONT][/FONT]25 [FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Hata hivyo mkiendelea kufanya uovu, ninyi na mfalme wenu mtafutiliwa mbali!"
  [/FONT]
  [/FONT]
   
 4. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #4
  Aug 9, 2011
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,936
  Likes Received: 2,084
  Trophy Points: 280
  Hiyo conclusion yako ndio inamaanisha hakuna au kuna pepo baada ya kifo na je inaendana kweli na kichwa cha habari? Hivi unaongelea uwepo wa pepo au kuingia peponi? Soma vizuri Biblia kwa jicho la imani ndio utaelewa vizuri!
   
Loading...