JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Msidanganyike, makada wote wakuu wa CCM wakiwemo wabunge na mawaziri hutembea na bastola -- na hii imekuwa hivyo siku hizi kutokana na hali ilivyo. Tatizo ni kwamba wanapokamatwa kwa kosa lolote...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakati tukio la polisi kuvamia mkutano wa CDM pale viwanja vya NMC unga Limited likitokea, inadaiwa kuwa Mhe. Mwenyekiti wa CDM Bw. Freeman Mbowe alikuwepo lakini cha ajabu alifanikiwa kuchoropoka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ukifuatilia miezi yote huwa ni siku 30 au 31 na february ni 28 au 29 ila mwezi julai na august ina siku 31 yote ikifuatana naomba kujulishwa kufuatana huko ni kisayansi au ni utaratibu ili siku...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Mchungaj alikua akihubili,akasema hv:Siku ya mwisho kutakua na vilio na kusaga meno.Kulikua na wazee wenye mapengo wakarukaruka na kusema aleluyah,ahimidiwe bwana mungu wa majesh tumenusulka.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
I was too busy that is why i was not arround.....i do miss you guys....do you misss me????/mwaaaah nakupenda
1 Reactions
86 Replies
7K Views
Mke wa Frank anajivunia mume mtulivu, hashindi baa na hatongozi videmu. **** Akitoka kazini huenda kucheza basketball na hurudi nyakati za dinner. Siku moja mkewe akamhurumia. Anachoka na kazi...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Leo nimepita mitaa ya katikati ya Jiji nikaingia katika mgahawa mmoja na kukuta watu wakiwa na mjadala wa Lema kujipeleka Gerezani. Wengi wao walikuwa wanahoji kwamba tangu lini mwanaume...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
MWANAMUME raia wa Marekani aliyekuwa na matatizo ya ugonjwa wa ngiri aliamua kujifanyia upasuaji kwa kujichana kwenye tumbo ili kutatua tatizo na kisha aliwasha sigara na kuchoma sehemu ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hayo ni maneno yaliyotamkwa na wanafunzi wa kike waTanzania ambao ni marais, mawaziri, wabunge na viongozi watarajiwa wa kesho wa Tanzania. SOURCE: bbc swahili .
2 Reactions
28 Replies
2K Views
a married man goes to confessional and says to the priest,father,i had an affair with a woman.........almost.'' what do you mean almost? questioned the priest. we ,we got undressed and rubbed...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Unapogundua boss wako anakufuatilia sana unapokuwa busy na email zako,facebook,twitter, tumia njia hii kumkabili ili uweze kuperuzi kwa raha zako!!!!!!
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Coincidence? YEAR: 1981 1. Prince Charles got married. 2. Liverpool crowned soccer Champions of Europe 3. Australia lost the Ashes tournament. 4. Pope died. YEAR: 2005 1. Prince Charles got...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
1 Reactions
5 Replies
4K Views
My dear President. We are approaching December 9. The so called Independence day. We will be commemorating 50 years of our Independent. Many things happens on this Day, One of the Most...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hamjambo wajamvi na Idd mubaarac! Tafadhali naomba nijuze matumizi mazuri ya pesa .Maana imenitokoe mie naambiwa nina matumizi mabaya ya pesa mie silewi wala kuhonga hiyo pesa nimetumia kwenda...
0 Reactions
25 Replies
6K Views
0 Reactions
0 Replies
935 Views
nipo kwenye hatua za mwisho kumalizia desertation yangu,na hypothesis lazma niipate kwa hawa makahaba wanaojiuza! So pliz pliz nitajien maeneo hayo
0 Reactions
28 Replies
8K Views
GENEVA UTAFITI uliofanywa na kampuni ya Uswisi ya Blacksocks umeonesha kuwa asilimia 66 ya wanaume wa kifaransa hubadili soksi zao kila siku, huku kila watu saba kati ya 10 wenye asili ya Uswisi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Na Imelda Mtema Gari la mcheza filamu hot Bongo, Jacqueline Wolper Masawe limefumwa likiwa na kondom za aina mbalimbali. Ishu hiyo ilidakwa na Weekly Exclusive Star, Jumanne ya wiki hii nyakati...
3 Reactions
27 Replies
6K Views
Wana jf ni kwamba kuna rafiki yangu jana alikuja kwangu kuangalia mechi kati ya fulham na t'ham akiwa amevaa shati la ccm, na kabla hajakaa nilimsihi aondoke mara moja kwa sababu zifuatazo: 1...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom