Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 234
Msidanganyike, makada wote wakuu wa CCM wakiwemo wabunge na mawaziri hutembea na bastola -- na hii imekuwa hivyo siku hizi kutokana na hali ilivyo.
Tatizo ni kwamba wanapokamatwa kwa kosa lolote lile, wakikutwa na bunduki huwa haitangazwi kama vile ilivyokuwa kwa Rage.
habari ndo hiyo, kwa hiyo bastola ya Dr Slaa si kitu cha kustua, ila tu kama angeiionyesha kwa kuivaa kiunoni kama vile Al Shabab Rage, au kuifytatua mbele za watu kama vile AlQaida Aeishi.
Daim