wadau huwa mimi nashindwa kuelewa utakuta mtu anaenda kutoa PESA kwenye ATM. Akishamaliza anaanza kuzihesabu. Hivi hata kama akizukuta zimepungua/ ongezeka atafanya nini wakati huo Bank inakuwa...
Habari wana wa mapenzi, mahusiano na urafiki(mamau). Napenda kujitambulisha kwenu kama memba mpya wa haka kautamu. Nimekuwa ni mfuatiliaji mzuri sana wa jf lakini sikuwahi kujiunga na ukurasa huu...
Washkaj flan mabest sana toka bush flan waliamua kwenda ulaya kusaka life baada ya kusikia kuna meli wanaweza kuzamia,bac issue ili kuwa hiv;
jamaa wa kwanza akasema washkaj eeh tukifika mton...
Let's get a break!!
Just imagine uko njiani katika mishughuliko ya kujipatia rizki.
Mara unacheki kwenye side mirror unamuona huyu dogo amebeba wekundu (Elfu kumi za kitanzania) utafanyaje?
kuna jamaa mmoja alichoshwa na matangangazo yanayobandikwa katika nyumba yake. Basi akaamua kuweka tangazo lililosomeka MARUFUKU KUBANDIKA MATANGAZO HAPA AMRI !
Kesho akakuta m2 mwngne naye...
Mzee mmoja alikuwa aishi na mtoto wake ambaye ni mvivu sana kuandika shuleni....cku moja mzee akamnunulia madaftar mapya mwanae huyo halafu ijumaa moja baada kutoka shule akamwita ili atizame...
A worried father confronted his daughter one night. "I don't like that new boyfriend, he's rough and common and bloody stupid!"
"'Oh no, Daddy," the daughter replied, "He's ever so clever...
I was a very happy person. My wonderful girlfriend and I had been dating for over a year,
and so we decided to get married. There was only one little thing bothering me...
It was her beautiful...
Kuku wa Man City.
Kichapo cha Bao 6 kwa 1 walichopata Man United, kimewafanya mashabiki wa Man U Duniani wahahe kutafuta kila kisingizio cha kichapo hicho. Kuku huyu mashabiki wamedai alikuwepo...
MAN;Hello!is this 911? POLICE;Yes!What is your emergency? MAN;Two girls are fighting over me! POLICE;What is wrong with that??! MAN;The ugly one is winning...Hurry!!
Ni Upungufu wa Bia Mwilini ambao huwa unawakabili wadau mbali mbali wa kinywaji hicho.
DALILI ZAKE:
1.Kiu sana
2.Njaa kali sana (Maana ukinywa lazima nyama choma)
3Kukosa ofa (Kama na mdoezi)...
Jamaa alikusanya watu wa makabila maarufu hapa tz ili wamfanyie jingle ya label yake"ISSUE KUKAZA".MUHAYA;Kouku inshuu kukaaza. MPEMBA;Yakhee ishu nkukazaaa. MMAKONDE;Baa soomoo,ishu kukka a za...
http://www.youtube.com/user/yomama?feature=grec_index#p/u/5/idk67_96LlE
HAHAHAHAHH ZAWADI YANGU HIYO WAKUU...UKIJISIKIA UCHOVU TEMBELEA HUMO UTACHEKA MPAKA BASI HAHAHAHHAHA KUNA WATU VICHAA SANA...
Na mahsusi kwa story mbali mbali tunazokutana nazo kwenye dala dala.Naanza na hii.
Oya, Shika Mchuma!
Kondakta: Kaa mkao wa pesa.
Abiria: Si tumetosha? Twende basi!
Kondakta: Tunafanya kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.