Uliona wapi mwanaume anajipeleka gerezani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uliona wapi mwanaume anajipeleka gerezani?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mwanajamii, Nov 8, 2011.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Nov 8, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Leo nimepita mitaa ya katikati ya Jiji nikaingia katika mgahawa mmoja na kukuta watu wakiwa na mjadala wa Lema kujipeleka Gerezani. Wengi wao walikuwa wanahoji kwamba tangu lini mwanaume akajipeleka gerezani tena mbunge. Walisema kuwa gerezani wanaingia watu wanaotumia madawa ya kulevya, wenye kesi za mauaji, wabakaji na majambazi iweje Mbunge aamue kwa ridhaa yake aingie humo? Kwamba aliingia kwa ridhaa yake na jana alitaka kutoka kwa ridhaa yake baada ya kuona posho za bunge lililoanza leo kana kwamba hii ni serikali yake.

  Waliunga mkono kitendo cha mahakama kukataa kutoka kwake wakasema serikali inatakiwa kumuonyesha Lema kuwa hayuko juu ya sheria na kwa sababu alitaka mwenyewe kukaa gerezani, aendelee kukaa hadi mahakama itakapoamua na si yeye. Tena apelekwa kwa wanaume wenye zaidi ya miaka mitano gerezani ambao hawajaona mwanamke ili wam-cameroon maana ndicho alichokifuata na si huruma aliyonayo kwa watanzania.

  Mzee mmoja alisema kuwa Lema anaichezea serikali ya Rais Kikwete isiyo na ubabe lakini angefanya hivyo wakati wa Nyerere angepambanishwa wanaume wa Cameroon gerezani na angeiona dunia mbaya.

  Wakuu baadaye nikaona nijiondokee zangu na kuacha mjadala unaendelea, sijui ulimalizikaje.
   
 2. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #2
  Nov 8, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  siku nyingine copy vizuri kwenye html haisomeki futa uanze upya
   
 3. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #3
  Nov 8, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Umesahau kwamba Lema alikuwa mhalifu siku za nyuma?
  Hujasikia akihusishwa na wizi wa magari?

  Inawezekana aliwamiss mamemba wake walioko gerezani ndo maana akatafuta njia ya kujipeleka.

  Hana jipya, watu wa Arusha wameshamfahamu. Wanajuta kumchagua kuwa mbunge wao. Wameapa hawatarudia kosa 2015
   
 4. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #4
  Nov 8, 2011
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,200
  Likes Received: 1,004
  Trophy Points: 280
  .
  Africa kusini!!
  .
   
 5. F

  FJM JF-Expert Member

  #5
  Nov 8, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kwenye red naona kama unafedhehesha watu wa jiji! Ni mwanaume wa shoka wa viwango vya Lema ndiyo anaweza kufanya uamuzi mgumu kama wake. Lakini naweza kuelewa kwa nini hao uliowahoji wamesema waliyosema - ni watu wanaoshi kwa nidhamu ya uoga, wasiosimamia chochote, na worst of all ni wanaume kwa muonekano wa suruali wanazovaa but deep down ni - chicken!
   
 6. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #6
  Nov 8, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  kwa AFRIKA ni wa 2 tu. 1.N.Olisheshe 2. G.l lema
   
 7. F

  FUSO JF-Expert Member

  #7
  Nov 8, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,825
  Likes Received: 2,302
  Trophy Points: 280
  Uliona wapi mwanaume, Baba mwenye nyumba, Mzee wa familia akawa omba omba?
   
 8. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #8
  Nov 8, 2011
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,496
  Likes Received: 2,740
  Trophy Points: 280

  Sasa wewe kama ni JF material ulishindwaje kuwapa mifano au na wewe ni zuzu tu kama wao.
   
 9. Somji Juma

  Somji Juma Verified User

  #9
  Nov 8, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,477
  Likes Received: 2,007
  Trophy Points: 280
  Afrika kusini,NELSON MANDELA..
   
 10. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #10
  Nov 8, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  1958 Nyerere alijipeleka mwenyewe jela........
   
 11. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #11
  Nov 8, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,576
  Likes Received: 4,690
  Trophy Points: 280
  Hivi CCM hamna kitu kingine cha kujadili zaidi ya Lema? Kweli mumefilisika kiasi hicho mnaanza kumjadili mtu kutwa kucha hakuna hoja zingine? Ndiyo matokeo ya kutumia masaburi kufikiri badala ya akili, yaani mnaboa saaaaaaaaaaaaana.Ama kweli Lema kawainamisha .
   
 12. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #12
  Nov 8, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,576
  Likes Received: 4,690
  Trophy Points: 280
  Bora mwanaume anayejipeleka jela kwa kutetea haki ya wapiga kura wake kuliko mwanaume anayehongwa suti na mwanaume mwenzake.
   
 13. j

  jigoku JF-Expert Member

  #13
  Nov 8, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,347
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Hoja iliyotolewa ni ya Kipumbavu sana.basi kwa akili yenu Lema ni mwanamke,so what,na kwanini msijadili ya ccm wenye akili na ambao ni wanaume?
   
 14. kaygeezo

  kaygeezo Senior Member

  #14
  Nov 8, 2011
  Joined: Jul 31, 2008
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  anataka kuolewa na Cameroon
   
 15. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #15
  Nov 8, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  [h=1]Kesi ya Julius Kambarage Nyerere, rais wa Tanganyika African National Union, kwa "kashfa" dhidi ya maDC wa kikoloni wawili, 1958[/h]
  [​IMG]
  By Simon Ngh'waya
   
 16. w

  werewe Senior Member

  #16
  Nov 8, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 196
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Eti niliingia kwenye mgahawa mmoja mjini,eti nikawakuta watu wanajadili kuhusu Lema,eti watu wanaojipeleka gerezani,eti mzee mmoja akasema,anachezea serikali legelege ya jk,eti wanasema alitaka akadake posho za bunge eti eti! Wewe unafikiria nn?acheni majungu na umbea
   
 17. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #17
  Nov 8, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Msafara wa mamba..
   
 18. m

  mama kubwa JF-Expert Member

  #18
  Nov 8, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 2,408
  Likes Received: 1,964
  Trophy Points: 280
  pointi!
   
 19. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #19
  Nov 8, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280

  tena sio suti ni Kaptura na Vijambakoti ..zeee zima! kenge hili si lijiuzulu tu??
   
 20. k

  kuzou JF-Expert Member

  #20
  Nov 8, 2011
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kuna jamaa b*s*a wake alikuwa jela baada ya kuimiss ilibidi aende kituoni na kutoa matusi
   
Loading...