Nahitaji msaada

NYAGI DRY

JF-Expert Member
Sep 10, 2011
368
155
nipo kwenye hatua za mwisho kumalizia desertation yangu,na hypothesis lazma niipate kwa hawa makahaba wanaojiuza! So pliz pliz nitajien maeneo hayo
 
Nenda buguruni sheli kimboka bar kuanzia usiku saa sita pale ndo pamekucha,buguruni sokoni pana bar pia inaitwa sewa bar wapo pia,jolly club posta,ambiance sinza karibu na hongera bar.
 
nipo kwenye hatua za mwisho kumalizia desertation yangu,na hypothesis lazma niipate kwa hawa makahaba wanaojiuza! So pliz pliz nitajien maeneo hayo
Hatua la mwisho la dissertation ila ndio bado unadefine hypothesis? be serious...
 
hat mi nilistuka nikaona jamaa anafurahisha jukwaa tu. Hakuna format ya research ipo hivyo duniani, nahisi huyu atakuwa ni dent wa cho fist year(mapank/pank huyo)
 
kaka nenda kimboka by night iko buguruni sheli, sewa bar buguruni sokoni, sugar ray nite club iko sokota, tandika kwa wahaya, ambiance, swiss pub tabata magengeni, joly club, sinza, maisha club-but very xpensive ukikosa huko niambie nikuelekeze kwenye madangulo ya mabikira waliotoka mikoani bado hawajapgwa vitu nako utapata maoni ya kutosha
 
mkuu mi nadhani huyu jamaa anataka kufahamu sehemu ya kwenda akatulize kiu ila anazuga tu
 
nipo kwenye hatua za mwisho kumalizia desertation yangu,na hypothesis lazma niipate kwa hawa makahaba wanaojiuza! So pliz pliz nitajien maeneo hayo
Yaani hata kabla ya kukusanya data umeanza kuwaita majina mabaya 'MAKAHABA WANAOJIUZA'' Ndugu kama hao unaowaita hivyo ndiyo watakaokusaidia kupata hiyo digrii yako unatakiwa uwaheshimu ,na uheshimu kazi yao hapo utafanya nao kazi vizuri, otherwise kwa hiyo attitude yako utaishia kupika data.
 
kaka nenda kimboka by night iko buguruni sheli, sewa bar buguruni sokoni, sugar ray nite club iko sokota, tandika kwa wahaya, ambiance, swiss pub tabata magengeni, joly club, sinza, maisha club-but very xpensive ukikosa huko niambie nikuelekeze kwenye madangulo ya mabikira waliotoka mikoani bado hawajapgwa vitu nako utapata maoni ya kutosha

Kaka nielekeze kwenye hayo madanguro ndo nayataka sana,pliz pliz
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom