Umemsikia Frank ? Hebu cheka kidogo hapa .Mods iacheni si siasa lakini ina fundisho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umemsikia Frank ? Hebu cheka kidogo hapa .Mods iacheni si siasa lakini ina fundisho

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Lunyungu, Nov 3, 2011.

 1. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #1
  Nov 3, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Mke wa Frank anajivunia mume mtulivu, hashindi baa na hatongozi videmu. ****
  Akitoka kazini huenda kucheza basketball na hurudi nyakati za dinner. Siku
  moja mkewe akamhurumia. Anachoka na kazi. Mtu gani asiyependa starehe japo
  kidogo?
  Mke akamlazimisha outing, Frank akabisha lakini taxi ikafika. Gonga Club &
  Lodge.
  Walipofika mlangoni tu, mlinzi akaita, “Mambo Frank!” “Poa”
  “Nilidhani huwa huji club, inakuwaje mlinzi anakufahamu?”
  mke akauliza
  “Yule mgambo, mchana analinda ofisini kwetu, usiku anapiga part time hapa”
  akajibu Frank
  Wakachagua meza. Kukaa tu tayari mhudumu ameshaleta castle lager.
  Akamuuliza mama anakunywa nini. Mhudumu alipoondoka mama akauliza,
  “amejuaje unakunywa castle kama hakufahamu?”
  Wakati Frank anajikanyaga aanze vipi kujitetea, mhudumu wa vyumba akawa
  amefika na kuuliza.
  “Mkuu kama kawaida nimekuandalia namba tano, nendeni tu vinywaji nitawaletea
  huko huko”
  Kufikia hapo mama akawa hana simile tena, akanyanyuka akitukana
  ** kama **chizi. Akatoka nje mbio na kuingia katika taxi iliyokuwepo
  pale.
  Wakati anapatana bei na dereva, Frank naye akaingia. Mama
  yakamporomoka matusi kibao na kilio juu. Alipovuta kamasi na kupiga kwikwi
  akamsikia dereve anasema.
  “Duh, eee bwana Frank huyu malaya uliyeokota leo balaaaaaaa kuliko
  wa jana!!!!! Mamaa akazimiaaaaaaaa
   
 2. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #2
  Nov 3, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,974
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kumbe ukijifanya mtulivu home unaweza kumzingua my wife wako eeeh!
   
 3. Mcheza Karate

  Mcheza Karate JF-Expert Member

  #3
  Nov 3, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 691
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 45
  Mh! Kwani hujui hii sehemu yake wapi. MODS pelekeni kwenye jukwaa lake.
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Nov 3, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,427
  Likes Received: 22,349
  Trophy Points: 280
  wanawake wanapenda sana kudanganywa
   
 5. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #5
  Nov 3, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Mbona sioni uhusiano wake na siasa?
   
 6. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #6
  Nov 3, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  ishatolewa nadhani mwaka jana mwishoni
  kwenye jukwaa la jokes.
   
 7. M

  Mbalinga JF-Expert Member

  #7
  Nov 3, 2011
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 1,382
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Mods pelekeni panapohusika hii thrad inatupotezea wakati
   
 8. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #8
  Nov 3, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Bila kumdanganya mwanamke atakuona zuzu!
   
 9. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #9
  Nov 3, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,980
  Likes Received: 6,632
  Trophy Points: 280
  ndivyo inavyotakiwa.fanya mambo yako kimyakimya mkeo asijue ili kudumisha ndoa.mia
   
 10. B

  Bayo Senior Member

  #10
  Nov 4, 2011
  Joined: Jul 2, 2009
  Messages: 195
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwi kwi kwi
   
 11. a

  actus Senior Member

  #11
  Nov 5, 2011
  Joined: Oct 7, 2011
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  inakupotezea ww!!!!!ulilazimishwa usome?inaonekana ni jinsi gani unavyopenda kupotezewa wakati mpaka umepata muda wa kusoma na kujibu????
   
 12. BIG X

  BIG X JF-Expert Member

  #12
  Nov 5, 2011
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ukisikia Tembo kapanda tolori ndio hiyo. lo!
   
 13. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #13
  Nov 5, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,701
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  la kuvunda halina ubani. Nalog off
   
 14. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #14
  Nov 8, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  kama lina ubani basi umeishiwa nguvu
   
Loading...