Jewel
Senior Member
- May 1, 2008
- 176
- 62
Hamjambo wajamvi na Idd mubaarac! Tafadhali naomba nijuze matumizi mazuri ya pesa .Maana imenitokoe mie naambiwa nina matumizi mabaya ya pesa mie silewi wala kuhonga hiyo pesa nimetumia kwenda kuwachukua wanagu shuleni kwa kukudi gari ndogo kwenda mapaka shueni na kurudi home .Je hayo ni matumizi mabaya ya pesa na matumizi ya pesa ili yawe mazuri yatumikeje?