Gari la wolper kondom kibao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gari la wolper kondom kibao

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by MziziMkavu, Nov 7, 2011.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Nov 7, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  BACKPAGENew2.jpg


  wolper1.jpg


  Na Imelda Mtema

  Gari la mcheza filamu hot Bongo, Jacqueline Wolper Masawe limefumwa likiwa na kondom za aina mbalimbali.
  Ishu hiyo ilidakwa na Weekly Exclusive Star, Jumanne ya wiki hii nyakati za mchana wakati msanii huyo akiwa katika mishemishe zake za kila siku.

  Mwenyewe alipobanwa na paparazi wetu kuhusiana na ishu hiyo, alikiri ‘mipira’ hiyo ya kiume ni yake na kwamba, ndiyo silaha kubwa kuliko yoyote hapa duniani, hivyo lazima awe nayo popote.

  Staa huyo ambaye kwa sasa yuko kwenye muonekano wa ki-Amber Rose, alikwenda mbele zaidi kwa kuweka wazi kwamba katika ulimwengu huu kondom ni kitu cha kawaida sana.

  “Ni bora kutembea na kondom ndani ya gari kuliko pesa kwa sababu ‘zana’ hiyo ndiyo uhai wa mtu na kwa ulimwengu huu ni kitu muhimu.

  “Unajua wengi wanaamini pesa ndiyo kitu muhimu, lakini kondom ndiyo silaha bora kuliko zote. Kwa kweli mimi kwenye gari langu lazima ziwepo,” alisema.

  Msanii huyo aliongeza kwamba hata kama yupo na ‘mtu wake’ faragha na amesahau ‘kifaa’ hicho, yeye hutoa na kumkabidhi akimwambia: “Baba usipate tabu, kwa vile nakupenda nakulinda.”

  Aidha, amewaomba wasanii wenzake (Aunt, Shumileta, Odama, Shamsa Ford na wengine), waige mfano wake kwa kuwa ‘silaha’ hiyo hata kwenye pochi inakaa.
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  Nov 7, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  simply huyu ni muuza k...
   
 3. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #3
  Nov 7, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Wolper ndo nani ?
   
 4. N

  Najikubali Member

  #4
  Nov 7, 2011
  Joined: Oct 30, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu anabiashara zake ndo mana anatembea bidhaa inayo mwingizia kula.
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  Nov 7, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,522
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  hongera sana wolper ..utatukanewa lakini wewe unajipenda sana
   
 6. Escobar

  Escobar JF-Expert Member

  #6
  Nov 7, 2011
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 576
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 60
  Japo simfahamu ila anaonekana yuko makini na biashara yake, lazima atakuwa anaifanya kwa ueledi, uhodari na usalama zaidi sio wale wanao funua tu halafu ndio wanaukuuliza kama unakondom na kama huna utasikia p.i.z.i.a nje siku zangu sio nzuri! Nyambaf
   
 7. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #7
  Nov 7, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Kumbe anajikinga na mimba zisizo za lazima
   
 8. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #8
  Nov 7, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Yupo kamili kamili ukipanda dau, anakupa hata kama ni kwenye gari, ngoja engine ije inoki kutokana na kufanya umalaya kwenye gari.
   
 9. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #9
  Nov 7, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Huyo anatembea nazo tu angeulizwa kama huwa anatumia ndomu zenyewe au sanaa
   
 10. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #10
  Nov 7, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  sie wenyewe kutumia kazi, unaweza kuwa nayo mfukoni lakini usiitumie..anawezaje kulazimisha ivaliwe na mwanaume anaelipia huduma?? ingekuwa amekutwa na za kike hapo mswano!
   
 11. Chenge

  Chenge JF-Expert Member

  #11
  Nov 7, 2011
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 1,077
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Umekuwa wakala wa Shigongo?Naona post zako unachukua Global publishers tena bila hata ku-acknowledge
   
 12. K

  Kihorohonjo Member

  #12
  Nov 7, 2011
  Joined: Jun 11, 2009
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Askari mzuri ni yule anayekuwa na silaha wakati wote. Big-up Wolper.
   
 13. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #13
  Nov 7, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Saana tu,yeye anajali,wewe je?
   
 14. N

  Nehondo JF-Expert Member

  #14
  Nov 7, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 311
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  nimefurahi kusikia hili ....hongera wolper
   
 15. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #15
  Nov 7, 2011
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 0
  Kumbe ana gari? Darisalama bwana!
   
 16. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #16
  Nov 7, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  waweza fafanua kidogo kilichokufurahisha plz!
   
 17. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #17
  Nov 7, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,754
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Bora mwanamke kubeba kondom.
  Kwasababu nategemea garama zingine atazimudu mwanaume.
  Kaonyesha ustarharabu siyo kumchuna tu mwanaume bila kumlinda kwa starehe ya muda mfupi.
  Big up
   
 18. M

  MyTz JF-Expert Member

  #18
  Nov 7, 2011
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 334
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mkuu ...
  1/ kutembea nazo ni hatua moja...
  2/ kutumia ni hatua nyingine...
  akiangukia #2, atakuwa anajijali na kuijali jamaa imzungukayo...
   
 19. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #19
  Nov 7, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  nadhani hapa mgempa hongera kwa kutpenda na kutujali nasio kumsakama.......................je angetuambukiza si ndio mngemnyonya macho?
   
 20. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #20
  Nov 7, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Ndo mana magari yao huwa "tinted" naskia hata kwenye foleni za mjini huwa wanamaliza kabisa
   
Loading...