Kwanini mwezi wa julai na august una siku 31?

Kwanini mwezi wa julai na august una siku 31?

Safety last

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
4,242
Reaction score
1,430
Ukifuatilia miezi yote huwa ni siku 30 au 31 na february ni 28 au 29 ila mwezi julai na august ina siku 31 yote ikifuatana naomba kujulishwa kufuatana huko ni kisayansi au ni utaratibu ili siku 365 zifike?
 
Mi sijui hata kwanini... Embu waulize wale wengine ambao kalenda yao sio yetu(watoto wa ma mdogo). Mana wao huangalia makosa tu ya dini ya wafuasi wa mtoto ya Maria.
 
Pamoja watu wamegoma kuchangia ,mfalme julius caesar alipokufa alipewa mwezi wa 7 july na papa Augustus alipoona mwezi wa saba unasiku31 na mwezi wa jina lake august una 30 alichukua siku moja kutoka mwezi feb akaweka kwenye august ikawa 31 zamani mwezi wa pili ulikuwa na siku 30,chanzo NASA.
 
Ngoja Best! Majibu ntakupa na ngoja nirudi primary school kwa muda mfupi. Maana enzi ile ya Mwalimu walimu walikuwa makini kushinda leo magamba kuachwa na ndiyo nilipata elimu yangu. Wait!
 
Ukifuatilia miezi yote huwa ni siku 30 au 31 na february ni 28 au 29 ila mwezi julai na august ina siku 31 yote ikifuatana naomba kujulishwa kufuatana huko ni kisayansi au ni utaratibu ili siku 365 zifike?

Swali zuri hili acha tuone wataalamu wa mambo ya kale watavyo tuelimisha hapa
 
Mimi sijui, cku nyingne usiniulize tena swali hili
 
kalenda tunayotumia sasa hivi kwa kiasi fulani ni ile aliyoibuni Julian ambayo miezi utofautiana kwa siku moja mf.30,31,30 isipokuwa februari na katika miezi yote 12 ni miwili tu ambayo majina yake yalitokana na watawala wa wakati huo wa Roma: julai ulitokana na mtawala aliyeitwa Julius na Agost jina lake lilitokana na mtawala aliyeitwa Augusto, sasa habari yenyewe: Augusto aliona wivu mwezi wake kuwa na siku 30 tu!hivyo ALIKOPA kutoka February ambayo ilikuwa na siku 28 au 29 kwa mwaka mrefu, usiogope kuhusu kinachotwa SIKU YA BWANA au UCHAKACHUAJI haukuanza leo!
 
Ndebile nimependa hadithi zako za kukopa...kwanin aliamua kukopa February badala ya mwezi wa mbele yake ama nyuma,na badala yake akaamua kurudi mbali namna hiyo?
 
Back
Top Bottom