Jipeleke mwenye lupango, wakati unamla uroda ulikuja kuomba msaada hapa JF? umeshamuharibia Masomo yake sasa ndio unakuja kuomba msaada JF. Kaombe msaada Polisi, Hapa wala hatutokuunga mkono wa kumkatishia Masomo huyo Binti. Hebu fikiria ndio ingekuwa dada yako ndio kafanyiwa hivyo halafu wewe ndio ungelikuwa unamlipia Skul fizi, ungejisikiaje? Ndio umempenda lakini sikuna mipira kwanini usitumie? Mijitu mingine Bwana sijui ikoje umeshamuharibia Maisha huyo Binti. Daaaaah kama ingekuwa Dada yangu au yangu umempa hiyo mimba basi ningekufundisha adabu ningekukataa kwa mara ya pili au kwanza:embarassed2: Ukome kukatisha Masomo dada zetu