Brother sijajua vigezo kama vilivyo ila naweza kukusaidia baadhi ya vigezo.Jamani e,me nna swali eti zipi qualification zinazomfanya mtu kuwa moderator??.Kama vipi kuwe na uchaguzi kabisa na watu wagombee isije ikawa watu wanapewa umoderator kwa upendeleo.
ps:msininukuu vibaya sijasema nataka kuwa moderator,me nauliza tu
Jamani e,me nna swali eti zipi qualification zinazomfanya mtu kuwa moderator??.Kama vipi kuwe na uchaguzi kabisa na watu wagombee isije ikawa watu wanapewa umoderator kwa upendeleo.
ps:msininukuu vibaya sijasema nataka kuwa moderator,me nauliza tu