Watu wengine bana!

mayenga

JF-Expert Member
Sep 6, 2009
4,118
1,966
Katika bus mama mmoja altaka kumnyonyesha mtoto, mtoto akakataa, mama akamwambia 'nyonya km hutaki nampa anko anyonye' anko ni kaka mmoja ambae ni abiria aliekaa pembeni na huyo mama ,mtoto akanyonya kidogo akaacha..mama akamtishia tena kumpa anko..ndipo yule kaka kwa hasira akahamaki akasema... 'mama hebu kua na msimamo, unajua nmeshapitiliza vituo viwili kwa ajili yako! hebu kua mkweli unanipa ninyonye au nishuke aaah'' hahaaaaa cheka unenepe!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom