Afadhali weekend imefika................

Afadhali weekend imefika................

EJM_

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
3,836
Reaction score
2,119
Sio kama napenda wikendi ifike ili nisifanye kazi, ila wikendi ndio wakati ambao tunapunguza sarakasi za nchi hii. Kwa mfano wiki hii imekuwa na sarakasi nyingi kwenye hii episode mpya ya "Tanzania yetu yasonga mbele" baadhi ya sarakasi zikiwa;
  1. Bunge kuanza likiwa halijajiandaa
  2. Sakata la Lema kule Arusha na kunyimwa dhamana
  3. Sakata la mkesha wa CHADEMA baada ya hapo na vurumai za wana CHADEMA na polisi
  4. Kukamatwa kwa Mbowe
  5. Issue ya ushoga ikiwa inaendelea
Na mengine lukuki...........................Ah nimechoka nayo na sasa wikendi ije ili watu waongelee vitu vingine bhana....
 
HTML:
...........................Ah nimechoka nayo na sasa wikendi ije ili watu waongelee vitu vingine bhana....
BUT STILL WE NEED CONCRETE ANSWERS ON ALL THE ABOVE SAID MATTERS!
 
Kaka wewe kweli ni mzalendo, ili jumatatu tuje na nguvu mpya ya kujadili na kuona sarakasi mpya. Nimeipenda hii
 
hahahaaaa, kuna sarakasi ya mafuta umeisahau.....Nayo iko hoot kwa week hii, magari yanazima barabarani
 
wekend weekend!! tukutane palee maeneo yetu wajameni !!! naipenda sana ijumaa!!
 
HTML:
...........................Ah nimechoka nayo na sasa wikendi ije ili watu waongelee vitu vingine bhana....
BUT STILL WE NEED CONCRETE ANSWERS ON ALL THE ABOVE SAID MATTERS!
Yeah but if you find it difficult to get the answers unapumzika ili kukusanya nguvu
 
Back
Top Bottom