Puuh!

ZeMangi

JF-Expert Member
Oct 21, 2011
436
33
Jamaa m1 alikuwa anatembea na mke wa jirani,siku 1 mke wa jirani akamuita jamaa mida ya ucku ili wafanye matusi kwa sababu mumewe hakuwepo,wakati wanaendelea ku duu,jirani akarudi akawa anagonga mlango,yule mwanamke akafungua mlango wa nyuma akamwambia jamaa aondoke,
jamaa alikukuruka na kukimbia UCHI hadi kwake alipofika akamgongea mkewe,mkewe akamuuliza "mme wangu vp mbona uko uchi alaf unahema kama ulikuwa unakimbizwa?"
jamaa likajibu,"mke wangu nimevamiwa na majambazi njiani wakanivua nguo zote ndo maana niko uchi"
mkewe akamwambia,"pole mme wangu wamekuvua nguo zote,ila kwa nini wamekuvisha kondom?
 
Mke wangu hao majambazi walilkuwa majimamama, walitaka kunibaka pia!
 
hapo chachaa!!, lazima varangati litokee maana huwezi pata utetezi wa ghafla.
 
Jamani ndio ndio inapaswa muuzingatie usemi usemao "mke wa mtu ni sum" huyu jamaa akiwa mkewe alishawahi kuwa mwanajeshi, lazima apate kipigo kitakatifu. But lazima tu ataongea ukweli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom