Kitu gani kinakutisha....? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kitu gani kinakutisha....?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Kongosho, Nov 10, 2011.

 1. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #1
  Nov 10, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Nimepita kituo cha daladala mida ya jioni na kuona makundi makubwa ya watu wakisubiri usafiri. Nikawaza hawa watu wote wanahitaji chakula na sehemu ya kulala.
  Imenifanya nikajiuliza, je kama kabla ya kuumbwa unapewa nafasi ya kuchagua uje duniani kwa mtindo wa kitu fulani, ni kitu gani unaogopa sana kuwa? Mfano, imagine kuzaliwa swala unakuwa chakula cha simba.
  Au kuzaliwa popo unasinzia kichwa chini miguu juu.

  Vitu navyoogopa sana kuwa ni:-
  1. Chakula, watu wooote hao wanakula afu mdomoni giza sana, very scary.
  2. Nyumba, baadhi zinajaa sana watu hadi kama zinataka kupasuka.
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Nov 10, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,869
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  loh. . .
   
 3. v

  valid statement JF-Expert Member

  #3
  Nov 10, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  umewaza mbali sana mdau....
  Ukiendelea kuwaza hivi, unaweza hata kutengeneza REMOTE CONTROL ya JUA.
  Ukawa unatusaidia kupunguza makali ya jua na joto lake kali.
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Nov 10, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  mmmh......nilizani naulizwa naogopa nini......
   
 5. king'amuzi

  king'amuzi JF-Expert Member

  #5
  Nov 10, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  haya bwana angalia ucje ukawaza kuwa toilet paper ukizani utafaidi
   
 6. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #6
  Nov 10, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,914
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 160
  Astaghafulilah!!
   
 7. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #7
  Nov 10, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  duh! yani ulivoandika iyo kichwa ya habari yako ni tofauti na yaliyomo ndani.........
  ww unaogopa nn?????????
   
 8. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #8
  Nov 10, 2011
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,274
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  life is too short to take it that serious
   
 9. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #9
  Nov 10, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  mimi naogopa mende....wewe je?.(usichakachue naomba uende na melody ya uzi)....hi hi hi hi....
   
 10. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #10
  Nov 10, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Naogopanga majambazi sana mimi
   
 11. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #11
  Nov 10, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Usuwaza sana ma-pythogras theorem sasa hivi. Imagine kitu kinachokutisha labda ww ungezaliwa popobawa, hulali usiku kutembelea nyumba za watu tu. Huogopi, au tayari ww popobawa wa hiari tena wa mchana kweupe
   
 12. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #12
  Nov 10, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Imagine ww ungekuwa Barbara au aliyemwoa barbara yule, lazima ikutishe sana na ulivyo mpole.
   
 13. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #13
  Nov 10, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Ha ha ha, unaogopa kuwa toilet? Kukaliwa mbona poa tu.
   
 14. v

  valid statement JF-Expert Member

  #14
  Nov 10, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  hakuna kitu kinanitisha kama umasikini...
   
 15. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #15
  Nov 10, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Ha ha ha, umenichekesha usingizini, mende!?
   
 16. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #16
  Nov 10, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Nimesema naogopa kuwa chakula na nyumba.
   
 17. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #17
  Nov 10, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Umaskini ni too relative term, unachoita maskini ww kwa mwingine ni utajiri. Labda waogopa false statement mambo ya tautology.
   
 18. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #18
  Nov 10, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Basi tuambie wewe Preta, ni kitu gani kinakutisha maishani???
   
 19. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #19
  Nov 10, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Umasikini kwa maana gani? kwa sababu unashindwa kununua vitu, sababu unashindwa kubadili maisha yako au aspect gani zaidi ya umasikini?
   
 20. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #20
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Hakuna kitu kinanitisha kama ukosefu wa akili.
   
Loading...