Barter System (Natural resources v/s Kiswahili)

Malova

JF-Expert Member
Apr 21, 2011
784
228
Tunajisifu kuwa lugha yetu inakua sana duniani. Na wakati mwingine tunajisifu zaidi tunapoona mataifa makubwa kama CHINA na USA yanapo jikita zaidi kukijua KISWAHILI.

Lakini kwa mtazamo wangu hawa watu hawana lengo zuri na kujihusisha kwao kujifunza KISWAHILI badala yake wanajifunza ili waelewe tunapowakaribisha kijinga hapa kwetu wasipate tabu wakati wanahitaji kuchukua rasilimali zetu kama MADINI, MAFUTA, n.k



 
BARTER SYSTEM...........!!!!!!!!!!!!!!!!!!!??????????? acha mbwembwe.
 
Back
Top Bottom