Majukumu ya mwezi wa December au Mwisho wa mwaka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majukumu ya mwezi wa December au Mwisho wa mwaka

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Ghost, Dec 13, 2011.

 1. Ghost

  Ghost JF-Expert Member

  #1
  Dec 13, 2011
  Joined: Apr 20, 2010
  Messages: 429
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Habari zenu wana JF,

  Hongereni kuumaliza mwaka (bado wiki 2), ni jambo la kumshukuru Mungu na kusherekea kidogo. Mimi kwa upande wangu baada ya kufanya hivyo naanza kukuna kichwa kwasababu ya majukumu yanaojitokeza mwezi huu sana sana mwisho wa mwaka. Sote tunajua huu ni mzigo kwa kila mzazi au mtu mzima, wengi wetu tunapokea mshahara mapema kama tarehe 20 hivi, na kusubiri hadi January mwishoni kupata mshahara mwingine...hiki ni kipindi kirefu sana kupangilia maisha na mishara yetu hii.
  Hapo chini ni orodha ya vitu vya kutimiza wakati huu:

  1. Shool fees
  2. Kodi ya nyumba
  3. Siku Kuu (Xmas na New yr)
  4. Holiday* (kwa wale wanaopenda kwenda mapumuzikoni)
  5. ___________
  6. ___________

  Endelezeni list
   
Loading...