Love is the beuty of the soul

abdul39

Member
Aug 24, 2011
10
2
Jamaa alikuwa na girlfriends watatu,akaanza kuwaza amwoe yupi kati ya hao.
akawapa kila mmoja milion 5 ili aone kila mtu ataitumiaje.

Girlfriend wa kwanza akaenda supermarket akanunua nguo,viatu,mikufu ya kila aina,
akaingia saloon kutengeneza nywele,halafu akarudi kwa jamaa na kumwambia
nimenunua hivi vyote ili nipendeze ili unipende daima.

Girlfriend wa pili akarudi akiwa amenunua,tv,redio,cd & dvd player,meza na viti,
halafu akampa mshikaji ili watumie kwa maisha yao wakioana.

Girlfriend watatu akafanya biashara ndogo ndogo ile hela ikarudi mara mbili,
akafungua duka na kumrudishia jamaa million 5 yake,akamwambia million 5 hiyo
ikusaidie na hii itakuwa duka letu.

Cha kushangaza ktk uamuzi wake jamaa akaamua kumwoa mwenye chuchu na makalio makubwa.
 
Copy and paste, peleka kule MMU
avatar49903_5.gif
 
Back
Top Bottom