Wabishi na wenye viburi jamvini

Wabishi na wenye viburi jamvini

stevoh

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
2,921
Reaction score
1,107
hivi humu ndan kuna watu wenye vibur na hasira za karibu? Maana kwa wabish nimekwisha wajua!
 
Ya nini, leo tunadeal na mazuri tu.
Mshatutoa povu siku nzima
 
Kabla ya kujibu kwanza define mbishi ni mtu gani, na mwenye kibui ni mtu wa aina gani.

Maana idea yangu ya mbishi na mwenye kiburi inaweza kuwa tofauti na yako.

Mi naweza kuona mwenye kiburi ni yule asiyechangia kitu kabisa, wewe ukaona yule anayejibu kwa ujuaji sana kuwa ndiye mbishi na mwenye kiburi.
 
Hamjalala tu?
Wewe unatype huku umelala? nyumba anayoishi mwana JF hasa kwa Bongo wezi wote wnaiogopa, wanajuwa kabisa pale jamaa anakesha kwenye mtandao na kulala ni alfajili tayari watu wanaodamka wanakuwa wako mtaani.
 
Back
Top Bottom