Rais mwizi

Kingdom_man

JF-Expert Member
May 19, 2010
405
456
Am sure you must have watched this clip its so very funny, Am sure JK could have done the same if he had got a chance!
 
Last edited by a moderator:
Zaidi ya dagaa!!Kudadadadeki kumbe maprezdaa wanatamaa??lakini huyu nikamkono tangu utotoni!!hakaishagi!!
 
Mleta mada naona kakosa cha kuandika hapa anaamua kurudia matapishi ya zamani. Naenda zangu darasani sina cha kuchangia hapa.
 
Mleta mada naona kakosa cha kuandika hapa anaamua kurudia matapishi ya zamani. Naenda zangu darasani sina cha kuchangia hapa.

:bange::msela:sasa hao wenzio ambao hawajawahi ona hii wangeionea wapi?. Jamani unaona post ambayo ushaiona, si unapita tu na kuipotezea kwani lazima uandike upuzi humu!. Na huyu Mwalimu wako huko darasani kazi anayo. Duh
:focus:
 
Am sure you must have watched this clip its so very funny, Am sure JK could have done the same if he had got a chance!

0:14 - Nice pen.
0:16 - Im gonna steal it.
0:19 - What should I do?
0:21 - Ill hide it under the table.
0:24 - Now what...?
0:26 - Ill put it in my pocket, no one will notice.
0:34 - Mission accomplished, man Im good.
0:40 - God damn box is still open, better close it.
 
Last edited by a moderator:
:bange::msela:sasa hao wenzio ambao hawajawahi ona hii wangeionea wapi?. Jamani unaona post ambayo ushaiona, si unapita tu na kuipotezea kwani lazima uandike upuzi humu!. Na huyu Mwalimu wako huko darasani kazi anayo. Duh
:focus:

achana na mm wewe, try to be creative. uvivu, uzembe uzembe tu na ufinyu wa mawazo ya kufikiri kwa kina ndio unakufanya urudishe hapa topic za mwaka jana.
 
.....Na yule wa kwetu aliyeiba mgodi wenye thamani ya shilingi bilioni 7 na kujiuzia kwa milioni 7 tu. Ingekuwa raha sana kuona yote yaliyojiri alipokuwa busy ili kukamilisha wizi wake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom