Sala ya Slaa na Kikwete-Ni balaaa

Pilato

Member
May 29, 2008
60
1
Ee KIKWETE Uliye tufilisi,Jina lako USANII MTUPU,utakalo lifanyike BAGAMOYO TU,utupe leo mabilioni yetu ya EPA,uwapeleke MAFISADI wote Mahakamani ,uwape WASTAAFU pesa zao ,uwasamehe wafungwa hasa BABU SEYA kama ulivyomsamehe LOWASA ,Usitutie katika mikataba FEKI, kwa kuwa UFISADI ni fani yako na uwongo hata milele , na Uanguke kwenye uchaguzi ujao kama unavyoanguka hovyo jukwaani ,AMINA
 
Forwaded msg from mobile phone..!!
Duh! Wabongo wamechizika! Wonderful sense of humor!
 
umesahau na uso wake usio na haya kwa kusisistiza uwongo ule ule aloahidi 2005.
 
wewe hiyo Avatar yako ndio tuseme who is Kobe-24 na Who Is Pierce- 34????
jina tu hujasikia mtoto anaitwa PINDA huko Tabora lakini sio Pinda wa Pm.!
Mi kobe lakini Namshabikia PIERCE.
 
Awasamehe pia wafungwa kama Liyumba kama alivyowasamehe wezi wa mabilioni ya EPA!
 
Mkuu,
Nimesikia sehemu kuwa kesi ya Liyumba inafanana na ya Babu Seya?

Mwaka 2005 walipotangaza ushindi wa Boys II Men, nasikia Liyumba alisimama na kusema "mwenzenu ni mfungwa tayari".

Mleta Majungu anadai kuwa Liyumba alishawahi kunyang'anya mtu Kimwana.

Ni kisura mmoja alihitimu masomo Uingereza. Anapenda kuvaa nyekundu. Picha yake kuna mtu aliwahi kunionyesha kwenye Michuzi.
 
Ee KIKWETE Uliye tufilisi,Jina lako USANII MTUPU,utakalo lifanyike BAGAMOYO TU,utupe leo mabilioni yetu ya EPA,uwapeleke MAFISADI wote Mahakamani ,uwape WASTAAFU pesa zao ,uwasamehe wafungwa hasa BABU SEYA kama ulivyomsamehe LOWASA ,Usitutie katika mikataba FEKI, kwa kuwa UFISADI ni fani yako na uwongo hata milele , na Uanguke kwenye uchaguzi ujao kama unavyoanguka hovyo jukwaani ,AMINA

Forwaded msg from mobile phone..!!

Duh !!!!
Hiyo kali....
 
Mweee, watu mna data nyie?? Niliposikia nilifikiri MAJUNGU.

Duu, kweli watu wakiamua kufungulia mbwa, mengi yatatokea.

Kumbe wanafungwa adui zake tu? Na hii inaonyesha akitaka, atashughulikia hata Mkapa.

Hukumsikia alipokuwa anga za Mramba akisema hiyo kesi itaisha tu?
 
Ee KIKWETE Uliye tufilisi,Jina lako USANII MTUPU,utakalo lifanyike BAGAMOYO TU,utupe leo mabilioni yetu ya EPA,uwapeleke MAFISADI wote Mahakamani ,uwape WASTAAFU pesa zao ,uwasamehe wafungwa hasa BABU SEYA kama ulivyomsamehe LOWASA ,Usitutie katika mikataba FEKI, kwa kuwa UFISADI ni fani yako na uwongo hata milele , na Uanguke kwenye uchaguzi ujao kama unavyoanguka hovyo jukwaani ,AMINA

Forwaded msg from mobile phone..!!
say it again
 
Hii sala mpatieni Mchungaji Slaa aipeleke kanisani, huko ndio kuna sala za ajabuajabu namna hii. watu hukop ni rahisi kufumba macho na kuitikia ameeen bila kujali nani anaombwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom