WACHINA, Mmekuja Dodoma kutujengea chuo kikuu mmetuachia na zawadi ya vitoto vya Kichina! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

WACHINA, Mmekuja Dodoma kutujengea chuo kikuu mmetuachia na zawadi ya vitoto vya Kichina!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Jumakidogo, Dec 13, 2011.

 1. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #1
  Dec 13, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Hawa jamaa ni kiboko. Wamejenga chuo bomba, wamemaliza kazi salama lakini sasa vitoto vya rangi mbili vimeanza kuonekana mitaani. Dada zetu nao hawana dogo, walivyoona wachina hawa ni watu wa kujichanganya mpaka kwenye vibanda vyo gongo wakaona ndio nafasi yao ya kuwakamua. Sasa wamekamuana, ukienda kliniki kwa siku hukosi kuona vitoto viwili au vitatu viswachina.

  Ndo weshakuwa mashemeji tena! Nani anabisha? Kwa jinsi jamaa hawa walivyozaliana kwa fujo huko kwao. Miaka 20 ijayo nchi yetu robo nzima ya watu watakuwa waswachina.
   
 2. M

  Marytina JF-Expert Member

  #2
  Dec 13, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  kwani wabongo walipoenda Uganda vitani wameacha vijimimba vingapi????????
   
 3. C

  CHIPANJE JF-Expert Member

  #3
  Dec 13, 2011
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  We mzushi tu.
   
 4. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #4
  Dec 13, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Ha ha haaa mbona una hasira, naona povu mdomoni kama umebugia foma!
   
 5. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #5
  Dec 13, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,245
  Trophy Points: 280
  Mwenye dada hakosi shemeji banaa!ngoja tuchanganye na akili ya kichina labda tutajikwamua na ukwasi huu! Hata morogoro kuna breed nzuri tu ya wasouth africa, tena imesaidia ku-neutralise ile mbegu fupi ya kiluguru. Hongereni kinadada wa dodoma,hofu yangu ni huo ukimwi manake mnaonesha umahiri kwa ngono nzembe.
   
 6. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #6
  Dec 13, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wala sio mzushi mi kweli nimeshuhudia watoto watatu chotara wa kichina....ni kweli kabisa
   
 7. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #7
  Dec 13, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,467
  Likes Received: 4,126
  Trophy Points: 280
  Hakuna shida na sisi baadae tutakuwa na uwezo wa kutengeneza bidhaa feki..
   
 8. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #8
  Dec 13, 2011
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Wagogo + Wachina = ????
   
 9. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #9
  Dec 13, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  kuna warangi wa kumwaga pia.
   
 10. C

  CHIPANJE JF-Expert Member

  #10
  Dec 13, 2011
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Niende klinik gan ambapo ntawakuta hao watoto!
   
 11. C

  CHIPANJE JF-Expert Member

  #11
  Dec 13, 2011
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Wap na wewe embu zako
   
 12. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #12
  Dec 13, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Hakuna jinsi, kama dada zetu hawajui kusema ''hapana'' ila wanakuwa wepesi wa kuvua ''chupi'' unategemea nini!!!!.
   
 13. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #13
  Dec 13, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Kwani watoto na mama zao wanaishi kliniki?. Huenda mara moja kwa mwezi kuchunguza afya za watoto wao kisha huondoka zao.
   
 14. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #14
  Dec 13, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,127
  Likes Received: 1,083
  Trophy Points: 280
  Na pale Temeke Wachina walipojenga ule uwanja wa Mkapa wameacha nini?
   
 15. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #15
  Dec 13, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Hiyo imetulia sana. Tutegemee akina Bruce Li, Jackie Chan, Yao Ming wa kiswachina.
   
 16. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #16
  Dec 13, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  kwweli aisee... hawavai, ila naskia vidodoma vya wachina ni viandunje kwahiyo inawezekana haziwatoshi
   
 17. l

  lubazi Senior Member

  #17
  Dec 13, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 135
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ndio vizuri pengine miaka ijayo wakikua tutapata taifa la wachapa kazi wanaoogopa kuiba mali ya umma ili uchumi wa tanzania ukue kama china
   
 18. MwafrikaHalisi

  MwafrikaHalisi JF-Expert Member

  #18
  Dec 13, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 1,746
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Acha ubishi. Sema unataka kuwaona na wewe ila wapo. Eti kwa sababu hujawaona ndio unadhani hawapo?
   
 19. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #19
  Dec 13, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,671
  Trophy Points: 280
  Disco limevamiwa na mmasai ana rungu na sime!
   
 20. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #20
  Dec 13, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,245
  Trophy Points: 280
  Unamaanisha hamnaga za watoto? OMG, inamaana hawa under 18 wa jf hawatumii? Hebu tuanze mchakato,dili hilo!
   
Loading...